Bila shaka wote mko poa kabisa.
Kidoti wenu nimerudi maji ya shingo nashindwa hata pa kuanzia. Kama familia yangu ya JF naombeni ushauri wenu wenda nikapata hata msaada.
Kama mnakumbuka nilileta...
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA inatarajia kusambaza mita za maji za malipo ya kabla (mita za prepaid)baada mafanikio ya kufunga mita za majaribio Kwa wananchi ambazo...
Huyu mchungaji wa Kenya katoa ushuhuda na kupongeza Wakristo kwamba ndo njia peke ilio baki kunusuru dunia hi, msikilize kwa makini af ufanye comment yako kama ni kweli analo sema au laa, utowe na...
𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗸𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘃𝘂𝗷𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝘄𝗮𝘁𝗲𝗷𝗮 𝘄𝗮𝗼
Nazani kwenye simu yako kwa siku unaweza kupokea ujumbe mbalimbali za matangazo haswa matangazo ya kubashiri au kubahatisha...
Wakuu
Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus.
Magonjwa yasiyoambukiza
-magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure...
Uchunguzi wangu binafsi nimegundua dunia ya Sasa ni rahisi mno kupata hela Kuliko kupata ajira rasmi.
Hapa Tanzania watu wengi wanaPata pesa sana ila hawana ajira rasmi.
Leo nimejisikia vibaya Sana baada ya kumsikia Mzazi mmoja akimgombeza Mtoto wake aliyekua na ndoto ya kusomea ualimu, maongezi yao yalikua hivi.
Mtoto: baba Mimi nataka kusomea ualimu.
Baba...
Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa
"Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa...
Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila
Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi...
kwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu.
Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW
ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY
TPA -...
Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.
Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa...
Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii?
Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu.
Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya...
NEVER Learn These 11 Life Lessons the HARD Way! (Wise Words)
Introduction
Ever wish you could have a conversation with your older, wiser self? What secrets to a fulfilling life would they...
Salaam, Shalom!
Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;
(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni...
Transfoma limeharibika kila ukipiga simu wanasema wanashuhulikia, ndio mwezi mzima?
Tafadhali Tanesco kanda ya Pwani tuooneni huruma miradi inakufa maisha yanakuwa magumu, karne hii bila umeme...
Anaandika Habibu B. Anga,
Sadaka ni sehemu ndogo ya source ya utajiri wao.
Kizazi kipya cha wachungaji vijana wana formula mpya kali mno.
Tony Kapola (Ubert Angel) -Zimbabwe
Clear Malisa (Passion...
Ndugu zangu.
1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ?
2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri ...
Aisee kujua unaibiwa had ujaribu kitu kingine.
Nimekua nikinunua hili bando la 2100 la Gb lakin halikai hata dk tu limeisha.
Sasa hiz siku mbili nimeunga voda GB 1 inakaa sana aisee had sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.