Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema Serikali ya Jamhuri ya Muumhano wa Tanzania inalitambua na kuthamini mchango wa Walinzi wa Jadi (Sungusungu) na kuwataka pia kufanya kazi kwa...
0 Reactions
4 Replies
377 Views
Je, Binadamu Anaweza Kuwa Mtakatifu Utakatifu ni Nini Utakatifu ni ile hali ya kuwa safi mbele za Mungu, kumhofu yeye na kumuogopa yeye na kujitenga mbali na dhambi. Neno “Mtakatifu” lina maana...
0 Reactions
2 Replies
662 Views
Mamlaka ya usafiri nchini haijui idadi kamili ya dalada kila mkoa nchini. Pia haifahamu idadi ya mabasi ya yaendayo mikoani. Taasisi hii muhimu inapata fedha nyingi sana kutokana na fees na...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Wakuu, Kampuni ya Moab Minerals imethibitisha uwepo wa Uranium kwenye mashimo yote 51 ya uchimbaji yaliyofanyiwa majaribio katika mradi wake uliopo Manyoni. Uchunguzi wa awamu hii kutoka kwa...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
3 Reactions
3 Replies
231 Views
Sasa hivi tunaona kuna ujenzi Bagamoyo Road, kipande cha Mwenge-Tegeta. Kama mwananchi nilikaa kipande hii muda mrefu napenda kuwatonya TANROADS kuwa MAKOSA YALE YALE ya kitaalam yanafanyika...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna huyu mtumishi hapa kaandaa maombi kwa watumishi wa umma ili waweze "Kudumu kwenye nafasi zao" eti katikati ya vita. Tayari hapa ameshawaandaa kisaikolojia kuwa kazini kwako kuna...
1 Reactions
11 Replies
753 Views
Wakuu habari zenu? Ninaomba msada na muongozo kuhusu hili jambo. Mfano kuna account bank ambayo mhusika wake alishafiriki ila warithi wa marehemu wangependa account isifungwe na kisheria...
4 Reactions
95 Replies
10K Views
Barabara ya Tabata Chang’ombe ni barabara kongwe sana kiukweli inatia aibu sana zaidi ya miaka 30+ haina lami kabisa na wala mbunge wala viongozi hawaangaiki ikikaribia uchaguzi hapo wanafika...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri, amelieleza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuwa kuelekea miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wilaya hiyo imefanikiwa kupata ofisi...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Wasalaam Tuliambiwa na waziri husika mradi wa Bonde la Mto msimbazi unaanza January 2025 Kwani tayari walikuwa wamesign mkataba na world bank. Lkn mpaka leo kimya Labda tuwaulize wahusika...
1 Reactions
0 Replies
342 Views
Mtu anakuja kwako analia, kilio cha msibani. Anapiga magoti umkopeshe pesa. Unamkopesha kwa moyo safi kabisa. Anaondoka kwa shangwe utafikiri bwana arusi kaoa. Muda mliopatana wa kulipa deni...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa. Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za...
24 Reactions
148 Replies
31K Views
picha kwa hisani ya Masoud Kipanya,toka mtandaoni! 👉🏾Kwani toka lini bodaboda hasa katika jiji la Dar Es Salaam ,mkapata exceptions kwenye mataa na junction mbalimbali hasa taa za barabarani...
0 Reactions
5 Replies
613 Views
Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha. Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama...
14 Reactions
166 Replies
6K Views
𝗪𝗮𝗻𝗮𝘀𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗮𝗯𝗶𝗿𝗶 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗦𝗮𝘆𝗮𝗿𝗶 𝗬𝗲𝘁𝘂 𝗛𝗲𝘄𝗮 𝘆𝗮 𝗼𝗸𝘀𝗶𝗷𝗲𝗻𝗶 𝗶𝗻𝗮𝗸𝗮𝗿𝗶𝗯𝗶𝗮 𝗸𝘂𝗶𝘀𝗵𝗮 Kuna utafiti umefanywa na chuo kikuu Cha Toho wakishirikiana na Wanasayansi toka Nasa wametabiri viwango vya Hewa ya...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Kama unayajua piga kimya. Kama huyajui haya hapa:- Mambo 7 muhimu kuhusu Aircraft Carrier ya Marekani: Idadi ya Waajiriwa – Kila aircraft carrier ya Marekani ina wastani wa 5,000 – 6,000...
17 Reactions
42 Replies
2K Views
Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija. Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake...
13 Reactions
264 Replies
8K Views
Ndugu wanajukwaa, nawasalimu kwa jina la Mungu baba muumba wa Dunia na Tanzania yetu na wake. Napenda kuwashirikisha kuwa inshallah katika umri wa miaka 62 ninampango wa kuanzisha chama tanzu...
0 Reactions
3 Replies
329 Views
Ni kama miezi kadhaa naona mtandao wa vodacom unazingua kwenye kupiga simu kawaida na internet. Huko kwenye internet ndiyo utakuta ina load mwaka hadi MB zinakata. Najiuliza hili tatizo ni...
2 Reactions
6 Replies
462 Views
Back
Top Bottom