Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wachina wanaojidai kuwa ndio wafadhili wetu wakubwa wa miradi mbali mbali hapa nchini baadhi yao wanatumia mwanya huo kutuhujumu hasa pale wanapoamua kuwa soko huru la kununua nyara za taifa letu...
5 Reactions
116 Replies
10K Views
RUVUMA: Mkuu wa Wilaya, Kapenjama Ndile amesema uwepo wa mifugo mingi kupita kiasi umekuwa ukiathiri kilimo na kuathiri mazingira Wilayani hapo na kuwa hali hiyo inachangiwa na rushwa...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu. Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi...
1 Reactions
3 Replies
459 Views
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar. "Wanawake wamekuwa wakilalamika wakichukua fomu wanaanza kufatwa kwamba wao' si mna viti vyenu Maalumu ' tuachieni sisi huko ( jimbo), ndio maana tuna sema kuna...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Mimi ni mgonga ulimbo mwenye matumaini tele wakati wagonga ulimbo wenzangu wakiwa addicted na porn na betting. Basi mimi niko addicted na page & website za sekretarieti ya ajira maana nina imani...
3 Reactions
3 Replies
436 Views
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata kinara wa dawa za kulevya jijini Dodoma, Suleiman Mbaruku Suleiman maarufu Nyanda mwenye umri wa miaka 52 ambaye mamlaka hiyo...
16 Reactions
62 Replies
6K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara...
16 Reactions
136 Replies
6K Views
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar. Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022 inaonesha Zanzibar ina watu 1,889,773 kati ya hao wanaume ni 915 ,492 huku wanawake ni 974 ,281 hii ikimanisha wanawake ni...
1 Reactions
0 Replies
381 Views
Habari WanaJF Nimekuwa nikijiuliza maswali kwanini kuna zoezi zima la verification codes wakati wa zoezi la ujazaji form za mikopo ya elimu ya juu kulipia?, Kwanini wasitengeze vyeti vya kuzaliwa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Baadhi ya wananchi Wanaotakiwa kupisha Ujenzi wa Bandarikavu katika eneo la Nandanga, Kata ya Mpemba, Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mkoani Songwe wameilalamikia Ofisi ya Serikali ya Mtaa...
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Hivi ndivyo inavyokuwa wazazi wanapoweka kipaumbele kwenye elimu badala ya burudani. Hebu fikiria iwapo watoto wengi zaidi wangeanza kusoma kama hivi wakiwa na umri mdogo. 📚
4 Reactions
7 Replies
549 Views
Jana nimeshangazwa na kukutana na mheshimiwa wa taifa ambalo limeshakubali kubadilika kutoka kuwa kanisa akiimba injili ya rehema na baraka kwa kutimiza miaka mingi. Waheshimiwa wanaogopa...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Katika siku za hivi karibuni naona Dollar inazidi kuporomoka sijajua sisi tumepunguza importation au Shilling inazidi kuimarika au biashara imekuwa na mwelekeo mzuri watu hawafichi tena dollar...
2 Reactions
6 Replies
555 Views
Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
39 Reactions
190 Replies
8K Views
Kama ambavyo tumewahi kujadili hapa JF kuhusu makelele yaliyokithiri katika miji yetu. Ipo haja katika mabadiliko ya sheria za mazingira ambayo yatajadiliwa bungeni kuhakikisha hivi vipaza sauti...
1 Reactions
10 Replies
558 Views
Ifike mahali wananchi waache kulialia na kuhitaji kila kitu bure. Hii nchi bado inajitafuta na hata kama tutajipata hatutaweza fikia azma ya kutoa huduma za afya bure. Zahanati, Vituo vya Afya na...
1 Reactions
10 Replies
799 Views
Leo tare 27.1.2025 serikali imefunga vyuo vikuu vilivyopo Dar es salaam kupisha suala la "Mkutano wa wakuu wa nchi" 🤧 pamoja na shughuli zingine za kiuchumi zimesimamishwa. Fikiria kwa wanachuo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi Miaka sita (6) iliyopita nilichukua mkopo bank ya CRDB kwa dhamana ya utumishi na marejesho yakiwa yanakatwa moja kwa moja kwenye mshahara, moja ya masharti ya ule mkopo...
21 Reactions
167 Replies
26K Views
1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa. 2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit...
0 Reactions
8 Replies
465 Views
Back
Top Bottom