Kuna shule moja ipo mwanza ambako mwanangu anasomea, nimeshangazwa na taharifa ya Mwalimu Mkuu wa iyo shule akiwataka Wazazi kuanza kuwaijia watoto wao shule.
Hii imetokana na kubadilika Kwa...
Wadau,
Nimesikia leo katika vyombo vya habari kuwa Rais Jakaya Kikwete atawapa vyeti vya uraia wakimbizi wa zamani wa burundi. Mimi ni mdau kwa vile nimekulia mkoani katavi. Kuwapa uraia ni sawa...
Tanzania ndio Nchi pekee ambayo inaruhusu Wakulima wake wawe wanaibiwa na kinyonywa Kwa kuruhusu matumizi ya kilo 100 kama kipimo rasmi Cha kuizia bidhaa za nafaka badala ya kilo 90 kama ilivyo...
U hali ganI mpendwa msomaji, kwa uwezo wa Mungu naamini u bukheri wa siha.
Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza basi ni wazi kuwa kwa sasa tunaishi katika Ulimwengu wa faida. Na utambue tu kwanzia...
Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa...
"DRC haiwezi tu kutuambia tunyamaze wakati wanaongeza tatizo la usalama dhidi ya nchi yetu. Hakuna anayeweza kutuambia tunyamaze"
"Tumekuwa tukiiomba sana DRC na viongozi wake kwa muda mrefu...
Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake.
Aisee...
Watumishi wa Umma Huwa wanaonewa sana na Wanasiasa, Kwa kutumia Hawa TAKUKURU.
Majizi ya Nchi hii ni Wanasiasa na watu wenye vyeo vikubwa lakini sijawahi sikia hao wanaojiita TAKuKURU...
Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO!
Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana...
Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa."
Kupitia mtandao wa X...
India ina mgogoro wa mpaka na China. Sasa ilikuwa imeeweka oda ya drone 400 kwenye makampuni yake ya ndani kwa ajili ya usafirishaji wa vifaa kwa majeshi yaliyo mpakani. Sasa imekuja kugundua hizo...
Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni.
Mbona hivyo? Mnajificha nini?
Orodha hii hapa.
Kongowe, hapa ni mpakani mwa Dar na Pwani, kuna movement kubwa sana ya watu, magari mengi na junction ya kutoka Kigamboni kwenda Mkuranga au Mbagala.
Mwandege hapa iliwekwa...
Habari za jioni jamii forum
Kazi ni maisha,kila hatua na kila siku tunahitaji ubunifu mpya kwenye mishe zetu ikiwa ni njia ya kujikwamua na kuuacha umaskini haswa Kwa sisi watu wa kipato cha...
Serikali ya Tanzania imetangaza kufanya sensa ya uzalishaji viwandani kuanzia Machi hadi Juni 2025, ikiwa ni mara ya kwanza kwa sensa kama hiyo kufanyika kwa wakati mmoja Tanzania Bara na...
Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.
Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.