Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto.
Ukienda dukani unaonyesha pesa na sio vyeti...
Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip...
Naomba serikali ifanye jambo hapa.
Ajali huwa hazitokei bahati mbaya.
Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani.
REJEA ANDIKO HILI...
Ukipata nafasi ya kazi, ukatumwa kazi nenda ukaifanye usiku na mchana, Watanzania wanawategemea ninyi kwa sababu sehemu kubwa ya nchi yetu iko chini ya TAMISEMI’
Mhe. Mohamed Mchengerwa akifungua...
Ripoti mpya ya Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) inaonyesha kuwa kusitishwa kwa ufadhili kwa ghafla kumevuruga shughuli za NGOs za ndani, kusababisha upotevu wa ajira, kufungwa kwa...
Wakati changamoto za uchumi duniani zikiendelea kuonekana, na wanasiasa wa mrengo wa kulia katika nchi za magharibi wakiendelea na hata kutamka maneno mbalimbali yenye viashiria vya kutatiza...
Wakili Paul Kisabo ameeleza kuwa amemuandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) kutaka majibu ya utekelezaji wa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu upelelezi wa walipo Deus Soka...
Habari wakuu,
Leo naomba niulize swali ambalo kama watu watajibu litasaidia wengi pia.
Miaka ya karibuni kumekua na watu wengi wanafanya remote jobs hasa huko US ila ukiwa popote duniani.
Wenye...
Siku zote nitasimama katika ukweli na katikati bila kuwa ' Mnafiki ' au Kumuonea fulani na hivyo ndivyo nitakavyokuwa siku zote. Kwa masikitiko makubwa kabisa nimekuwa nikifuatilia sehemu...
Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni...
Jana nimeleta uzi huu
https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/
Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine...
Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake...
Kumbe mende ana maziwa bora kuliko ya Ngombe mazuri kwa watoto
Hivi unajua maziwa ya mende yana lishe bora mara 4 zaidi ya maziwa ya ngombe ni chakula kizuri kwa watoto.
Watu wengi wanapomuona...
Picha: My Camera
"Hatuna dunia nyingine. Lazima tuitunze na kuihifadhi." – Wangari Maathai
Kuna mdau aliandika hapa kuwa mmeamua kupamba jiji la Dar kwa chupa za plastiki. Sasa hii hapa ni...
Amani kwenu. Naomba tusikilize video hii ambayo nimeweka link hapo chini. Tovia Singer ni mwalimu wa dini ( Rabi) mwenye asili ya uyahudi na mwenye kufuata imani ya kiyahudi ( Judaism).
Hapa...
Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
Kwa ma globalists wenzangu tunaopenda mambo ya kimataifa hasa viongizi wa Dunia, Leo Dunia imechanganyikiwa baada ya Trump kuongea na Putin jumatano ya jana.
Matukio makubwa kama mkutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.