Mlima Kilimanjaro ni mzuri sana

Mlima Kilimanjaro ni mzuri sana

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,888
Reaction score
16,198
Huu mlima kwa kweli salute sana. Yani siku kukiwa na clear sky mwonekano ni something else kabisa.
Sasahivi ni jioni na unaonekana fresh hivi, siku ukiuona mchana na jua linapiga fresh view inakuwa very magnificent
PXL_20261003_152310279.jpg
PXL_20261003_152215131.MP.jpg
PXL_20261003_152219622.MP.jpg
PXL_20261003_152224721.jpg
PXL_20261003_152308136.MP.jpg


Milima mingine ambayo nimeiappreciate kimuonekano ni Mlima Meru na Mlima Oldonyo Lengai
Milima imetulia sana. Inabidi nipande milima yote hii mitatu one day
 
Nimesikia kuna moto mkubwa umezuka huko umeshaunguza zaidi ya square kilomita 18 za msitu unaozunguka mlima
 
Samahani mkuu....
Kwani unatokea kijiji gani..🤔
Kwa nini, kisa nimeukubali Mlima Kilimanjaro au?
Mbeya hakuna Mlima kama huu, af napenda sana kuangalia milima kwa hiyo ninaappreciate Mlima Kilimanjaro
Mbeya tunao huu, ambao nao naukubali pia. Napenda sana milima
PXL_20260618_131233278.jpg
 
Back
Top Bottom