Janjajanja utapeli ili kujikimu kwa siku husikaNini kinawafanya Wazaramo wawe wanaongea sana kwa muendelezo bila breki muda mrefu bila kuishiwa maneno kama vile Cherehani?
Kuna Mzaramo introvert ?
😂😂😂😂Kuna Mzaramo introvert ?
Ulikua unashindana nao?dah aisee hawa watu wanaongea sana dah
mi siwawezi
Watu wote wa pwani huongea sana, hasa ukiangalia asili na urithi wa lugha toka middle east, sehemu kama Iran, Ghuba ni watu Ambao wapo proud sana na lugha, mashairi, tenzi, kuongea kwa mafumbo etc.Nini kinawafanya Wazaramo wawe wanaongea sana kwa muendelezo bila breki muda mrefu bila kuishiwa maneno kama vile Cherehani?
Kuna Mzaramo introvert ?
Ila wewe jamaa😁😁hadi mataya yake yakagusana na masikio.
Sidhani kama ni kuwa proud na lugha.Watu wote wa pwani huongea sana, hasa ukiangalia asili na urithi wa lugha toka middle east, sehemu kama Iran, Ghuba ni watu Ambao wapo proud sana na lugha, mashairi, tenzi, kuongea kwa mafumbo etc.
Same kwa watu wa pwani, wazaramo ni maarufu tu ila wadigo, wamakonde, wandengereko, wapemba, wangazija na wengineo nao wanaongea kama chiriku.
Ndio identity Yao hio, unafkiri ukiskia misemo kwamba wazaramo wamemsema mwizi Hadi kafa Ina maanisha nini?Sidhani kama ni kuwa proud na lugha.