Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V). Tumeshatoa...
1 Reactions
4 Replies
104 Views
Aligonga mlango 🚪 Sikusema kitu🙁 Aliisukuma na kuingia ndani, Sikusema kitu🙁 Aliingia chumbani, Sikusema kitu🙁 Alikaa karibu yangu kwenye kitanda changu,Sikusema kitu🙁 Alitabasamu , nikaendelea...
2 Reactions
24 Replies
332 Views
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Abel Charles, Mkazi wa Mtaa wa Mambi, Kata ya Mafisa, Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa panga na Mke wake wakati wakiwa...
6 Reactions
59 Replies
1K Views
Usije kufukuzia ID feki ukadhani ni pisi utakuja kujiona fala Nawasanua usiku usiku wasije wakastukia Wanawake wakali huwa wajifichi fichi, Ukiona demu anakuzungusha zungusha na kuanza...
4 Reactions
42 Replies
458 Views
Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri. Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na...
2 Reactions
40 Replies
384 Views
Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam. Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa...
22 Reactions
203 Replies
4K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga(Mb), Leo Oktoba 3, 2026, amezindua Kitabu cha mwongozo wa upangaji bei za keki kilichoandaliwa na mmoja wa wajasiriamali hapa nchini bi Tahya au...
0 Reactions
6 Replies
101 Views
Sekta ya utalii inatarajiwa kunufaika na ujio wa wajumbe wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, huku imeelezwa...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Tunafahamu fika spare parts nyingi za magari aina mbalimbali zinatengenezwa china kwa asilimia kubwa sana NIKIWA RAIS WA TANZANIA SPARE PARTS ZA MAGARI AINA ZOTE ZITAKUWA ZINAZALISHWA HAPA...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi. Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama...
19 Reactions
38 Replies
664 Views
Wakuu kama ingekuwa ni account halisi Yani nimeweka pesa.pesa hii ungeitumia Kwa miaka mingapi?
2 Reactions
34 Replies
340 Views
Leo ni miezi mitatu tangu nilipoamua kuacha betting. Believe me, nimejifunza mengi sana kwenye safari hii. Betting ilinifanya nipoteze pesa, muda na vitu ambavyo nilipaswa kutumia kujijenga...
6 Reactions
30 Replies
299 Views
Ilikuwa ni siku ya graduation kumaliza kidato cha nne siku hiyo mvua ilikuwa na inanyesha vibaya mno wenye wapenzi wao walikuwa wamekumbatiana huko bwaloni huku mziki ukigonga watu hawaelewi, sisi...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Aisee Jua kali sana upande wangu mjini DASILAM Nilisita kusgn dili la kutimkia huko duniani canada kwa makubaliano mkataba wa kazi ungeisha ningekuwa huru kujipambania na kuangaikia...
4 Reactions
1 Replies
75 Views
Habari wana jamii. Kuna taarifa imepostiwa mtandaoni ikieleza kukamatwa kwa wezi (wahalifu) ambao wanafanya kazi ya kuchakachua mitungi ya gesi za kupikia (LPG) jijini Dar-es-salaam. Taarifa...
0 Reactions
4 Replies
148 Views
Eti kwenu huko hali ikoje? Dudubaya kawashauri nini? Huku kwetu machokonoko ni kibao, ila wanakufa tu mapema sana na hawana maisha kabisa, sometimes wanafilimbwa ilinwapate tu hela ya chips yai...
7 Reactions
30 Replies
620 Views
Habari zenu Wakubwa? Moja kwa moja kwenye uzi, Rafiki yangu ametuliza akili na kupiga hesabu ya hela aliyoliwa kwenye KAMARI (aviator na sports) kwa miezi mitatu ni zaidi ya milioni 3 ambayo ni...
16 Reactions
84 Replies
1K Views
Anonymous
Kwa sasa TBS imekuwa ni mzigo na imekuwa ikizalisha vilio vikubwa sana kwa Waingizaji wa Shehena au Bidhaa nchini (IMPORTER). Mfumo wao wa utendaji umekuwa mbovu sana na kila siku katika ofisi...
1 Reactions
4 Replies
183 Views
🚨 Breaking News 😳💔💔 50 Cent says marriage is the worst contract a man can sign — “it’s a bad deal!” 😳 50 Cent recently made it clear that he views marriage as a “bad contract” — and he’s urging...
2 Reactions
7 Replies
151 Views
Watu hawawezi kuamka asubuhi tu na kuanza kushangilia kifo chako, halafu wasio na akili wanasema chuki dhidi ya mtu mwenye pesa bila kuujua ukweli. Watu wakae wakijua hii ishu nzito sana. Wale...
7 Reactions
21 Replies
479 Views
Back
Top Bottom