1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 780
- 1,913
TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF
Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma yangu, wala sina ID nyingine za kujificha.
Nimejiunga na JamiiForums kwa lengo la kujifunza, kubadilishana mawazo, kujenga hoja na kufahamiana na watu mbalimbali. Sina nia ya kushindana na mtu, kumchafua au kuendeleza malumbano yasiyo na tija.
Kama kuna sehemu nimekosea, niko tayari kujifunza na kurekebisha. Naomba tuheshimiane na kila mmoja apewe nafasi ya kuwa yeye mwenyewe bila kuhukumiwa kwa tuhuma zisizo na ushahidi.
JF ni sehemu ya kujifunza na kubadilishana mawazo, si uwanja wa vita binafsi. Mimi ni mimi, naomba niheshimiwe kama nilivyo.