Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router.
Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti...
Baadhi ya Wabunge na Wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU, wameeleza kufurahishwa na mapokezi wakati wakiingia nchini kushiriki mkutano huo wa 153 unaotarajiwa kuanza Oktoba 5-9...
Mkurugenzi wa Vodacom Business wa Vodacom Tanzania PLC, Nguvu Kamando (kushoto), akikabidhi tuzo kwa mshindi wa kwanza wa mashindano ya Vodacom Coastal Classic upande wa wanawake, Mary Aleper...
Kuna kitu kinaboa kidogo kwenye professional networking. Unakutana na mtu summit, conference au event ya kitaaluma, anakuomba Instagram au LinkedIn ili muwe professional connections.
Unafungua...
Mimi siungi mkono tabia za hovyo za baadhi ya watoto wetu maarufu kwa jina la GenZ. Hiki ni kizazi cha vijana wadogo wenye amsha amsha sio kitoto. Ila wamekuwa wakilaumiwa kuwa na tabia mbaya kana...
Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada...
Inasemekana Meya Wa Jiji La Dar Es Salaam Mh Jumaaa Amepasuliwa Na Jiwe Kichwani Baada Ya Kuingilia Ugomvi Kati Ya Mgambo Wa Manispaa Na Wamachinga
Kasheshe Hiyo Ilianza Pale Askari Hao...
Naona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine.
Ni vyema viongozi...
Hii story ya Nuhu inayopatikana katika dini zote kubwa mbili inafikrisha sana, ni kisa ambacho kimekuwa na maswali mengi sana, mojawapo ni ya chakula kwa wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu...
Mods mliopo doria endeleeni kupoteza nyuzi zangu.Sijui mnaajenda gani huu mtandao wenu mada mnazotaka ZITREND ni mada za ngonongono na upuuziupuzi kama UMBEA na stori za mpira.
Back to the topic...
Mfano angalia hiyo video hapo chini. Huyo mdada wa Kiislamu, Vatican inaruhusu watu wa aina zote kufanya ziara za kitalii ndani ya Saint Peter's Square. Sasa huyo mdada akachukua na ka prayer mat...
Makala ya Kwanza:
Siri ya Ndoa:
Kwa Nini Mume Ndiye Mboreshaji na Mke Ndiye Mlinzi?
Katika ulimwengu wa leo, mafanikio ya ndoa hayaji kwa bahati mbaya, Bali yanahitaji...
Umeshawahi kujiuliza kwa nini mamba wetu Africa tu kiujumla ikiwemo Tanzania ni wakali sana kuliko mamba wengine?
Well sababu ni species tuliyonayo maeneo mengi ya Africa inayojulikana kama "Nile...
Sio kwa ubaya lakini kuna mambo yanaendelea Tanzania ambayo inabidi kumfikirisha kila Mwafrika wa asili wa nchi hii na bara hili na mojawapo na mashindano ya miss grand international ambapo sijui...
Tanzania inatarajia kuwa mwenveii wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) utakaofanyika iijni Dar es Salaam kuanzia Oktoba 6 hadi 9, 2026, katika Kituo cha Kimataifa cha...
Kama mnavyojua tena tuko ulimwengu mpya tumepata bahati kuishi nyakati za kidigitali nyakati za data nyakati za AI
Siku hizi kila kitu subscription, mwisho wa mwezi ukijumlisha unakuta ni hela ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Serikali ya Mkoa itaendelea kuhakikisha changamoto zinazowakabili wazee zinapatiwa ufumbuzi, hususan katika upatikanaji wa huduma za afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.