Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI.... Malume
16 Reactions
46 Replies
525 Views
Ukipewa nafasi ya kurudia maisha yako, ukarudishwa kwenye ule muda ambao uliamua kulipiza kisasi… 👉 Utafanya maamuzi yale yale? Au leo, ukiwa umeona madhara yake, ungechagua kusamehe, kuondoka...
3 Reactions
11 Replies
107 Views
Mtu anayevuta sigara mara kwa mara anaweka afya yake kwenye hatari mbalimbali zinazohusiana na matumizi ya tumbaku. Kwa upande mwingine, mtu anayefanya ngono na wapenzi wengi anaweza kukutana na...
2 Reactions
36 Replies
285 Views
Unayemjua leo kama Ibilisi au Shetani — mwenye pembe, ngozi nyekundu, uma mkononi, na anayetawala motoni — je, unajua kwamba hakuwa hivi tangu mwanzo? Picha hii unayoiona leo haikutoka moja kwa...
6 Reactions
26 Replies
352 Views
Sehemu wanazouza kuku hasa wa kienyeji ukiagiza kuku nusu wa kuchoma au kukaanga hutakaa upewe firigisi, maini au hata shingo. Lakini pia sehemu nyingi mijini ukiagiza hata kuku mzima hupewi na...
10 Reactions
18 Replies
228 Views
Acha kusikiliza maneno na stori za kuikuza NGONO kwamba ni kitu cha lazima au ni kitu cha kifahari.Chukulia ngono kama njaa. 📌📌HAKUNA SIKU UTAKULA NA UTASHIBA, UKILA YAKIPITA MASAA KADHAA NJAA...
3 Reactions
29 Replies
335 Views
Wakuu kwema...? Nimeipenda sana JF
12 Reactions
89 Replies
865 Views
Angalizo muhimu: Huu uzi ni kwa ajili ya kupata taarifa na hauhusiani na uvunjifu wowote wa sheria za nchi. Kama hii topic inakuzidi uelewa au huna jibu la swali lolote nililouliza hapo chini...
24 Reactions
130 Replies
2K Views
Ni kutishana, sijui kwa manufaa gani. Walisema mwezi wa 10.......kwa uhakikisho wa 100%! Jua limekaza uzi kila kitu kinakauka, eti El Nino!
5 Reactions
28 Replies
536 Views
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) jijini Arusha imeanza kuzaa matunda kwa kuchochea mnyororo wa thamani wa kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla...
-1 Reactions
3 Replies
65 Views
Ukingia kwenye mapenzi deep na mke wako jitahidi kuingia na moyo wako pamoja na akili zako ukiingia na moyo bila akili you end up in tears, stressed en desperate. Huyu jamaa wetu baada ya...
42 Reactions
133 Replies
6K Views
Wazee inakuwaje siku hizi unaweza kuwa unapita zako labda Maandazi Road mara ghafla V8 inawasha king'ora ili mumpishe.. yaani imekuwa kero kubwa. Wakazi wa Dar wanakutana na ving'ora vingi kwa...
4 Reactions
43 Replies
492 Views
Hebu vuta picha unazaa watoto, unahangaika kumlisha, kumvisha, kumsomesha kwa takribani miaka 25 halafu mwisho wa siku mtoto huyo akishakuwa mkubwa anaondoka hapo kwako kwenda kuanzisha familia...
50 Reactions
592 Replies
7K Views
WOSIA WA MZEE RAMADHANI MLOWE 1. UTAMBULISHO WA MWENYE WOSIA Mimi, Mzee Hamisi Ramadhani Mlowe, mzaliwa wa Kijiji cha Itundu, Wilaya ya Lungwa, Mkoa wa Songwe, tarehe 10 Machi 1955, naishi...
57 Reactions
175 Replies
8K Views
Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027? sina mengi ya kusema.
0 Reactions
4 Replies
59 Views
TANGA , Kamati ya Pamoja ya Ufundi kati ya Tanzania na Uganda (Joint Technical Committee) imekabidhi eneo la Chongoleani, Tanga, kwa Mshauri Mwelekezi kutoka Worley Consulting Group Limited kwa...
2 Reactions
29 Replies
517 Views
Utangulizi Katika jamii nyingi za Kiafrika, familia huanza kujenga utajiri lakini baada ya kizazi kimoja au viwili, mali hizo hupotea. Hali hii inasababishwa na ukosefu wa mipango ya urithi...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Anonymous (72ec)
Wauguzi wa Zahanati ya Kazuramimba, iliyopo Wilaya ya Uvinza, wanawatoza wazazi wanaofika kwa ajili ya kuanza kliniki ya uzazi kwa mara ya kwanza kiasi cha Sh 7,000. Kinachotia wasiwasi zaidi ni...
0 Reactions
2 Replies
136 Views
Asilimia kubwa ya watu wanaamini kwamba (Israel) ni nchi ,hii inatokana na uvivu wa kusoma au kulishwa maneno ya uwongo . Wanaamini Holocaust ya Hitler ndio iliwarejesha wale wahuni pale...
2 Reactions
10 Replies
139 Views
Tunaumaliza mwaka 2022 salama na kuuanza huu wa 2023, ni mengi yametokea ya kufurahisha, kusikitisha, Kuhuzunisha, kukera, kushangaza nk, tumewapoteza wapendwa wetu hapa nje na ndani ya forum...
32 Reactions
53 Replies
2K Views
Back
Top Bottom