MARAFIKI WA JF

MARAFIKI WA JF

Machingafx

Senior Member
Joined
Sep 25, 2026
Posts
139
Reaction score
187
Mi ni mgeni umu JF....
Naomba niwe rafiki yako hapa naongea nawew.... wewe apo umaesoma asaiv....
Tunaweza kua marafiki hapa online au hata offline.
Unaweza ukanichek kwenye➡️➡️0651351857.... ipo whsap pia....
Tunaweza tukaongea chochote kinachohusu maisha,mahusiano,na maendeleo....
ALL IN ALL NAPENDA TU KUSEMA ASANTENI🙏🙏🙏🙏
 
Unafanya kazi gani,
Umeoa/olewa,

Target yako Kwa Taifa ni ipi.

Mi nafanya kaz kwenye kampuni ya ulinzi SECURITY GUARD. SUMA JKT
sijaoa naishi kigheto gheto.... man alone
Target ni. Tanzania🇹🇿🇹🇿
 
Back
Top Bottom