Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 2,156 Reaction score 4,078 Oct 4, 2026 #1 Niliona tangazo la Konyagi wakizungumzia jinsi ya kutambua feki. Walikuwa wanamwita huyu jamaa mzaramo? Kisa nini kumuita hivyo?
Niliona tangazo la Konyagi wakizungumzia jinsi ya kutambua feki. Walikuwa wanamwita huyu jamaa mzaramo? Kisa nini kumuita hivyo?
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,859 Reaction score 8,555 Oct 4, 2026 #2 We kunywa awe Mndamba au Mgogo kama Ndenjembi we piga maji.
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 1,962 Reaction score 3,532 Oct 4, 2026 #3 Mopak et ni kweli....?