Tanzania Kuandaa COP12 Mkataba wa Nairobi 20

Tanzania Kuandaa COP12 Mkataba wa Nairobi 20

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,080
Reaction score
858
Tanzania inatarajia kuwa mwenveii wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) utakaofanyika iijni Dar es Salaam kuanzia Oktoba 6 hadi 9, 2026, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).



IMG-20261004-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom