Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Bakwata...
Kumekuwepo na usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanautumia huduma za mabasi ya mwendokasi. Abiria anapokata tiketi anaambiwa hakuna chenji asubiri mpaka itakapopatikana, hii ni sawa kweli? Huduma ya...
Haudhurii mikutano inayotakiwa kufanyika kila asubuhi kituoni hapo, na anapoulizwa anajibu kwa kiburi kuwa yeye ndo kila kitu.
Sasa ni mwezi mzima stahiki za watumishi wenzake amezuia bila sababu...
TRA Tanzania wana customer care mbovu sana, wanatudharau wateja wao, hawataki kujibu kwa wakati na walikuwa na haja gani ya kufungua account ambayo hawaiendeshi?
Katika ajira zilizotangazwa juzi...
Though ni minority, ile haki ya kutowatia majarubuni waliyokuwa wanapewa wenzao waislam nao wapewe. Watu wajizuie Kula ovyo hadharani.
Huu ndio usawa na haki
Eid Mubarak
Ishu ya utumwa wa kulaumiwa ni mwafrika nae alishiriki kwa 60% kufanikisha biashara hii kwa kuwauza waafrika wenzake utumwani.
Mzungu, mwarabu hakuingia field kukamata watumwa alikuta tayari...
Kuna baadhi ya wakusanyaji pesa za taka wamekuwa na tabia ya kutotoa risiti baada ya kupewa pesa za taka.
Takribani miezi mitatu mfululizo wakusanyaji pesa wanakuja na daftari ( counter book)...
Mjumbe wa Halmashauri kuu Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mbeya Ndele Mwaselela amesema Rais wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuleta na kukuza vipaji vya viongozi...
Habari,
Husika na ombi tajwa hapo juu naomba kwenu ninyi mnaohusika na Vivuko pale Busisi ongezeni vivuko ili muwasaidie wananchi mahali pale.
Leo nimevuka pale lakini kwakweli hali ilivyo...
Viongozi wa kiimani (kidini) na waumini wao
Watabibu na wagonjwa wao
Waganga wa kienyeji na wateja wao
Makundi yote haya matatu yamegawana imani
Yamegawana mashaka
Yamegawana undumilakuwili...
Jinsi ya Kubadili Nguvu Yako na Kuishi Maisha Chanya
Nguvu zetu za ndani zinaweza kuwa msingi wa mafanikio au kikwazo cha maendeleo yetu.
Tunaweza kujifunza jinsi ya kuzijenga na kuzibadili...
Dodoma, jiji kuu la Tanzania, linajivunia hali ya hewa ya kupendeza, wanawake wenye haiba nzuri wenye kila sifa ya kuitwa warembo9hasa kondoa), na sehemu bora za burudani.
Mji huu unakua kwa...
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama...
Mtu mweusi ana roho mbaya sana.
Wakenya na wabongo wanawachongea wenzio ambao wanaishi sasa hivi kwa kujificha kwasababu hawana vibali vinavyowataka waishi Marekani baada ya Serikali ya Trump...
Ni wajibu wa Waafrika wote wasomi na wasiokuwa wasomi kukaa chini na kutafakari juu ya domokrasia,ukristo na uislam kwa maendeleo ya Afrika.
Ni wazi vyote hivi vimeingizwa Afrika ili kuwapumbaza...
Kwa kawaida watu woote duniani hufunga usiku kucha na hufungulia asubuhi kwa kufuturu na chai, chapati, mayai n.k.., pia kuna watu wengine wao hupendelea kufunga mchana kutwa na kufuturu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.