Habari ya uzima, wandugu,
Nina uhitaji wa fundi mzuri wa piano , kwa yeyote ambaye anafahamu fundi mzuri wa piano popote pale Dar es salaam , tafadhali naomba nielekeze anapopatikana na...
Sehemu muhimu ya mahubiri ya Leo Jumapili: -
. Watanzania wengi ni maskini, sio kwakua hawana Maarifa au hawakusoma, ila ni kwa sababu ya UVIVU wa kufikiri na kutenda.
Siasa ya ujamaa...
Kwa wale ambao mara kadhaa tumesafiri ama kuomba visa ya kwenda China, kuna mabadiliko ya kuomba na kupata visa ya China kuanzia tarehe 31 March 2021.
Hapo awali ilikuwa tunajaza taarifa zetu...
Ndoto na mauzauza.. Its a very bad feelings.. Ukishawahi kukutana na hali kama hii?
Zinaumiza
Zinatisha
Zinaogopesha
Zinatatiza
Zinaleta upweke wa ajabu hasa kama wewe ni introvert
You don't trust...
Habarini,
Tafakarini juu ya hili kwa kumshirikisha MUNGU WA KWELI WA WATU na siyo mungu wa uongo wa warabu na wazungu.
Iweje DNA za WAAFRIKA, wahindi,wachina,wazungu,waafrika ziwe tofauti kama...
Kwa ambao wasio na ABCs za kundi hili... The Numbers Gang ni genge la wahalifu hatari zaidi ndani ya magereza ya South Africa. Chanzo cha kuanza kwake bado hakijafahamika ila kuna stories tofauti...
Wadau wa JF, Karibuni!
Wadau wa JF, habari za siku? Poleni na pilika pilika za maisha, najua mitaa imewaka, wengi wanahaha huku na kule kutafuta mkate wa kila siku. Lakini si wote wanahaha – wapo...
Mimi ni mteja wa zamani tigo na sasa Yas wa Post Paid. Malipo Baada. Nalipia GB kadha kwa mwezi na kuna kipindi huwa zinabaki. Kwa nini unapoingia mwezi mpya mnafuta GBs zangu ambazo nlishalipia...
Habarini,
Kila kukicha Waafrika wanazidi kuwa wajinga kwa kukumbatia manabii wawili mohamad na yesu ambao kiuhalisia siyo asili yao na hawana vinasaba nao kwani yesu ni mzungu wa kuigiza kwenye...
Habarini za usiku,
Je, inawezekana vipi kuwe na shitani mwingine zaidi ya Yesu na Muhamad iwapo hawa ndiyo walitumika na wazungu na warabu kuwafanyia WAAFRIKA mabaya ambayo ndiyo DHAMBI zenyewe...
SOMA: Markets mixed as investors brace for Trump tariffs
Vita ya kibiashara kati ya Marekani na Uchina imekuwa gumzo kubwa kwenye anga za uchumi wa kimataifa tangu mwaka 2018.
Rais wa wakati...
Umewahi kuona mwanaume au mwanamke ambaye anavumilia sana vitendo vyenye kumuumiza sana kutoka kwa mwenza wake au marafiki zake lakini kila siku anaongeza bidii za kumsaidia mwenza au rafiki yake...
mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill...
Democracy is not good for Africa, Qatar doesn't have a democratic system of governance. One leader one vision for economic transformation. In Africa we have to just say no to neocolonialism and...
Huyu bwana ni wazi anasumbuliwa sana na uovu aliofanya Dar es Salaam, ambao ulitia ndani kuteka na kuua watu. Sasa hili linamchanganya sana kiakili, na huenda anapata ndoto na maono yanayomvuruga...
Kuna yule rafiki yako aliyefariki aliacha familia.
Vipi umewaza kwenda siku moja kumcheck mkewe.
kuwapelekea wake japo NGUO ZA SIKUKUU au ZA SHULE
Au ndo tokea hile siku alivyofariki urafiki...
Disclaimer:
Uzi huu ni mawazo ya mwandishi pekee na wala hauna nia ya kuharibu biashara yoyote ya mtu bali kuelezea jamii kuhusu hatari ya kemikali katika vyakula
Katika pitapita zangu nilikwenda...
Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki.
Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.