Zerock
JF-Expert Member
- Sep 3, 2026
- 547
- 1,040
Asilimia kubwa ya watu wanaamini kwamba (Israel) ni nchi ,hii inatokana na uvivu wa kusoma au kulishwa maneno ya uwongo .
Wanaamini Holocaust ya Hitler ndio iliwarejesha wale wahuni pale Palestine.
Israel ni nini.
Katika vitabu vya Quran na biblia,jina Israel ni jina la mtu wala siyo nchi .
Kwa mfano Biblia mwanzo 35:10 jina lako ni yakob,hutaitwa yakob tena bali utaitwa Israel .
Katika uzao wa nabii yakub ndo tunapata makabila 12 yalokuwa watumwa kule misri baada ya kuhamia kule kutoka knaan (Palestine) kipindi cha Yusuf (a.s)
Kwenye Quran ; Ban Israel wametajwa mara nyingi kutokana na kisa chao na ukaidi wao,kuanzia kwa nabii Musa (a.s) hadi kwa nabii Issa (a.s) na visa vya kuwauwa baadhi ya manabii (zaqalia na yahya )
Jinae(Ban Israel) linamaana ya watoto wa Israel.
Israel siyo nchi bali ni jina la nabii Yaqub (a.s)