Kawombe haya rudi utoe shule, siyo blaa blaa😅😆😂😄😃Nitarudi.
Kazi ni kipimo cha utu
Siitaki, ila wawe wanasema ukweli.Unaitaka?
Bahati mbaya sikuunza sourceElewa maana ya utabiri mkuu. Hiyo asilimia 100 umeiweka wewe siyo wao.
OkBahati mbaya sikuunza source
Nikipata nitakuwekea
Mbona kwenye yale mabilioni waliyachota live live bila kujali hayo mambo ya utabiri?Elewa maana ya utabiri mkuu. Hiyo asilimia 100 umeiweka wewe siyo wao.