Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

• Ni katika mkutano wa kwanza wa mwaka wa ulinzi wa faragha ulioandaliwa na PDPC Mkurugenzi wa sheria wa Vodacom Tanzania PLC Olaf Mumburi (wa pili kulia), akizungumza wakati wa mkutano wa...
1 Reactions
6 Replies
149 Views
Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Ndugu zangu tunajisahau sana, kila kukicha mnalichokonoa hili Dubwana. Raia wote mnapaswa kujua Hatari kubwa sana inaweza kupata endapo utataka shindana na Serikali. Kwa uhalisia Serikali yoyote...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Wachaga ni kabila la wajanja na watu wenye udhubutu, wajanja, ubunifu, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina. Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima EVerest ni Mchaga Wilfredy...
26 Reactions
209 Replies
2K Views
Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kichwa cha habari cha mada tajwa. Maana niliona tangazo kua machinga kukaa barabarani Wilaya ya Ubungo mwisho ni tar 29 mwezi wa tisa, lakini mpaka sasa machinga...
3 Reactions
7 Replies
195 Views
UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote...
19 Reactions
132 Replies
1K Views
Nimejiuliza sana juu ya hili bila kupata majawabu hebu tujuzane hapa!,wazee wa shoka huwamega watoto wakali sana,au kwa sababu hawana kuremba remba na ubishoo mwingi?🧐🧐😃
3 Reactions
23 Replies
285 Views
★ Aelekeza kuanzishwa Kliniki ya Upimaji wa Mashamba ★ Awasisitiza wawekezaji kuendeleza maeneo yao kuepuka migogoro Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo...
8 Reactions
65 Replies
1K Views
Hivi ile kula tunda kimasihara bado ipo?
1 Reactions
4 Replies
91 Views
Mwaka 1902, mji wa Hanoi nchini Vietnam ulishuhudia moja kati ya mipango ya kijinga, ya kuchekesha, na iliyoacha kovu la aibu katika historia ya ukoloni wa Ufaransa—jaribio la kutokomeza panya kwa...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Tunafuatilia taarifa kutoka kwenye mamlaka husika kuhusu ajali ya ndege aina ya Embraer 120 iliyotua kwa tumbo katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro jioni ya leo. Kwa sasa hatuna taarifa nyingine .
7 Reactions
65 Replies
1K Views
Nchini Tanzania, neno "Gamelang" (au linalojulikana rasmi kama Gemilang) linarejelea mabasi yenye muundo wa bodi (body) kutoka kampuni ya Gemilang Coachworks ya Malaysia, ambayo mara nyingi...
1 Reactions
3 Replies
119 Views
Anonymous
Kuna migogoro na kampuni binafsi za upimaji hali inayopelekea majalada kurundikana ofisini bila sababu. Ofisi ya Msajili haitoi hati mpaka wale wadada (maafisa) wapewe kitu kidogo. Hili jambo...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Kwa mujibu wa mange, mboga mboga naamini wamecheza kama Pele kuwatumia cdm kuvujisha kinachoitwa connection ya mwigu kwa maslahi yao Ushauri wangu mtajua wenyewe ila siku wadanganyika...
5 Reactions
7 Replies
153 Views
Moja ya Taarifa inayosambaa kwa kasi Katika mitandao ya kijamii inahusu huyu kijana Lazaro, maarufu mtandaoni kwa kauli yake ya “nikuokotee mawe” kufuatia Taarifa zinazosambaa mtandaoni zinadai...
0 Reactions
2 Replies
106 Views
HABARI Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, akisema Rais Volodymyr Zelenskiy anaweza kutegemea uungwaji mkono wa Ujerumani, huku mashambulizi ya Urusi...
2 Reactions
14 Replies
184 Views
Jeshi la Polisi mkoani Manyara linataarifu umma kuwa linamshikilia Samson Gichochi (32), mkazi wa Basutu Wilaya ya Hanang' Mkoani hapa kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumpiga na nyundo Stanslaus...
0 Reactions
1 Replies
75 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Mbezi, barabara ya Goba (Mageti), nimelipia Huduma ya Faiba mlangoni kupitia Mtandao wa TTCL, wakati nafanya maombi kwenye mfumo wao nilionekana huduma imeshafika nilipo. Baada...
0 Reactions
3 Replies
121 Views
Back
Top Bottom