Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KIGOMA: Wananchi 344 kati ya 346 waliofika katika zoezi la disclosure katika Mtaa wa Mgeo, Kata ya Buhanda, Kigoma, wameridhia fidia zao na kusaini fomu za kuthibitisha uhakiki wa taarifa zao za...
0 Reactions
2 Replies
67 Views
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza kufanyika kwa upimaji wa kitaifa wa darasa la pili, darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2026, huku wanafunzi milioni 4.2 wakisajiliwa...
1 Reactions
1 Replies
94 Views
Wakati mwingine kile kinachopaswa kuondoka maishani mwako kinatoshea kwenye punje moja ya kitunguu saumu 🧄 Fuata mtiririko huu Tupa punje ya kitunguu saumu kwenye choo kisha utazame ni nini...
29 Reactions
121 Replies
2K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza napata mashaka hivi hawa wataalamu wetu katika nyanja mbali mbali kama vile Afya, uhandisi ,ualimu na nyinginezo ,je ni kweli wanaohitimu Kwa uwezo binafsi au...
1 Reactions
4 Replies
109 Views
Tanzania mauaji kati ya wanandoa, wapenzi au ndugu wa karibu kwa mwaka ni kama watu 300 tu nchi nzima, hiyo ni sawa na wastani watu 10 tu kwa mkoa mmoja kwa mwaka mzima. Ukiangalia takwimu hili...
0 Reactions
15 Replies
208 Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa tangazo kwa umma ikiwaalika wadau kutoa maoni kuhusu maombi ya marekebisho ya bei za huduma za majisafi na usafi wa mazingira kwa...
1 Reactions
3 Replies
100 Views
KIGOMA: Wananchi wa Mkoa wa Kigoma wamehimizwa kutumia kikamilifu zoezi la kuhakiki taarifa za mali zao na kutoa maoni pale wanapoona kuna taarifa ambazo hazijaandikwa kwa usahihi katika mchakato...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Ni muda mrefu naona watu maeneo mbali mbali mtandaoni wako serious na haya mambo kuliko miaka ya nyuma.Nadhani ukuaji wa Technology umechangia,watu wanasoma na kufuatilia tabiri viganjani mwao...
13 Reactions
76 Replies
566 Views
Anonymous
Barabara ya kutokea Iringa kushuka Mikumi kipande walichoweka zenge kina muda mrefu hakijamaliziwa chote, eneo hilo ambalo halina zege ni baya na hatarishi kwa wanaotumia vyombo vya usafiri...
1 Reactions
1 Replies
52 Views
Wakuu habari, Kuna ongezeko kubwa sana la watu kufunga ngao mbele ya magari yao. Hususani madereva wa mabasi, daladala na malori. Hatua hii ni ili kulinda magari yao kipindi yapatapo ajali. Lakini...
0 Reactions
2 Replies
84 Views
Ukitaka kutengeneza pesa nyingi ni lazima ukamate kikundi chako cha wajinga au waoga kadhaa Wavuta sigara wote ni wajinga lakini kutokana na ujinga wao wanawaingizia wakuu pesa ndefu sana Wafia...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Kwenye vita ya pili ya dunia, mizinga ndiyo silaha iliyoua watu wengi kuliko silaha yoyote. Kwenye vita ya Ukraine na Russia asilimia 70-80 ya vifo na majeruhi yanatokana drones, tena zile drone...
1 Reactions
4 Replies
85 Views
Utangulizi .. Kutokana na Mimi kuwa msomi wa historia , kuipenda kwa kuisoma , kuichunguza na kuifutilia kwa undani kabisa basi nakutana na vitu vingi vyenye kusisimua , vilivyofichwa au ambavyo...
1 Reactions
26 Replies
842 Views
Ni kitambo sana sijamsikia katika bashasha kama awamu ile ya Kikwete! Au ndio maana ya ule msemo wa "kila zama na kitabu chake!?"
8 Reactions
16 Replies
226 Views
Lile dada la kimarekani lenye trako lake, limeonekana kwenye kudos ya harmonize inasemekana walitongozana, jamaa kaanza kula k, lile manzi likacbukua kadi ya benki likatoa milioni kumi, HARMO...
7 Reactions
61 Replies
726 Views
Anonymous
Kero yetu kwa upande wa Tabata, maji hayaotoki jamani tunakaa mpaka wiki mbili hadi tatu. Mitaa ya Barakuda mpaka Shule mbona maji ya shida? Siku yakirudi yanarudi usiku Saa 10 mpaka Saa 11 alfajiri.
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kuhusu madanguro. Ukisikia danguro la wanawake, mara nyingi unakuta wanaume ndio wateja wengi. Lakini kwa nini ni nadra sana kusikia kuhusu danguro la wanaume...
4 Reactions
48 Replies
471 Views
Viatu vya Mtume Muhammad (s.a.w.), ambavyo kwa Kiarabu hujulikana kama Na'layn Shareef, vinapatikana na vimehifadhiwa katika Makumbusho ya Ikulu ya Topkapi (Topkapi Palace Museum) iliyopo...
1 Reactions
9 Replies
175 Views
Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI.... Malume
16 Reactions
46 Replies
525 Views
Back
Top Bottom