Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inaweza kuonekana kwa baadhi yetu kuwa ni imani za kufukirika na mambo ya kijinga yasiyo na maana kabisa, lakini haya mambo yapo na kuna watu yamewaathiri kwa kiwango kikubwa Si kila aombaye...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Lakini future ya kwako ni kubwa , wachawi na waganga na washirikina na wasoma nyota wanaiyona na kuna watu wanakutafuta uwe karibu na wao si kwa sababu wanakupenda, wanataka wachukue kilicho ndani...
0 Reactions
4 Replies
436 Views
Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa. Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Usikurupuke kujibu toa ushahidi Kimaandiko Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
5 Reactions
48 Replies
1K Views
Hivi karibuni Idara ya Uhamiaji ilitoa tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya Uhamiaji vijana wa Kitanzania kupitia tovuti na mitandao yake ya kijamii (Instagram, Twitter, Facebook). Kufuatia...
1 Reactions
3 Replies
353 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Halima Mdee imeielekeza Ofisi ya mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Umewahi kununua Bendera ya Tanzania kuweka ghetto au kwenye gari? Umewahi kufanya maandamani ya amani ya kumbukizi ya uhuru ukiwa na shati hata ya Tanzania? Wimbo wa taifa mara ya mwisho kuuimba...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
30-39 Ni umri ambao ule ubishi na kiburi cha ujana unaanza kushuka taratibu kwa maana unaanza kukubaliana na hali halisi😂 Ni umri ambao unaanza kujua kwa nini baba na mama yako walikuwaga...
4 Reactions
14 Replies
641 Views
Yutong, Zhongtong NK walazimishwe wafungue viwanda vya kufanya assembling ya mabasi yao hapa nchini. Hii itasaidia sana kuongeza ajira, kukuza welewa, na kujenga uzoefu kwa mafundi wetu wa ndani...
3 Reactions
12 Replies
412 Views
TOFAUTI KATI YA DINI NA WOKOVU Watu wengi wamefungwa na dini wakiamini kuwa ndio njia ya kufika mbinguni, lakini hawajagundua kuwa dini na wokovu ni vitu viwili tofauti. Yesu alipokuwa duniani...
0 Reactions
2 Replies
464 Views
Hii timu imetetewa na wazee humu kwamba nayo ni miongoni mwa timu kubwa ulaya kama ilivyo arsenal swali langu kama ac Milan ni timu kubwa mbona haina hata uwanja wake hiki ni kichekesho timu...
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Kulingana na hali ya kisiasa nchini, kuna uwezekano kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dodoma Alhaji ADAM OMAR KIMBISA kuteuliwa na kupewa jukumu muhimu la ukatibu mkuu wa ccm taifa, kurithi mikoba ya...
1 Reactions
14 Replies
624 Views
Hakuna hata haja ya salamu naenda moja kwa moja break ya 1 ni kwenye mada inayohusu kuhonga. Wanaume tuache kuhonga,narudia tena wanaume tuache kabisa kuhonga, tuwe wabahili sanaa, haya maisha ya...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Kumekuwa na michezo ya kusajili line bila idhini ya mwenye kitambulisho, umeenda kusajili laini unaambiwa rudia tena kuweka vidole kumbe nyuma ya pazia kuna namba imesajiliwa bila idhini yako...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
gari kubwa lililobeba mbolea limehama njia na kuingia upande wa pili. Eneo la Mbagala . Wawili wahofiwa kupoteza maisha wakiwa kwenye bajaji
3 Reactions
27 Replies
2K Views
1. Aliko Dangote Utajiri: $23.9 billion | Chanzo: Cement, sugar | Citizenship: Nigeria 2. David Steward Utajiri: $11.4 billion | Chanzo: IT provider | Citizenship: U.S. 3. Robert F. Smith...
4 Reactions
13 Replies
864 Views
  • Closed
Kuna haja ya kuwa macho sana kama unataka ku maintain anonymity/usijulikane.
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Fisi wameua kondoo 21 huku wengine tisa hawajulikani walipo tukio ambalo limetokea mtaa wa Mahina katika Kata ya Somanda mjini Bariadi mkoani Simiyu. Mageni Maduhu amesema kuwa tukio hilo...
2 Reactions
2 Replies
433 Views
Mtu unatoka Dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa? Mbona wenzetu njia ya Kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari wakuu, Wahenga wanasema kuuliza sio ujinga. Kuna ndugu yangu mmoja mme wake amefanya kazi kati ya taasisi hizi: TBS, EWURA, TRA, TTCL, TCRA na TPA? Amejaribu kuniuliza hawa watu...
2 Reactions
8 Replies
937 Views
Back
Top Bottom