Habari wapendwa…
Hivi juzi apo niliona tangazo la kazi kutoka Western Governors University (ni chuo cha online originated huko Marekani), nikafanya interview ( phone interview) na siku chache...
Sijawah kusikia tajiri kasema ameota amerudi kwa bibi kula kisamvu kilichonganywa na togwa😂😂
Wala haujarogwa, ni akili yako ina reflect tabu zako za maisha yako asilia😂😂
Binafsi niliwahi kuajiriwa na Jeshi la Polisi mwaka 1999 baada ya kuingia Depo mwezi Juni 1998. Lakini baada ya kuona mambo hayaendi niliamua kuacha kazi ndani ya masaa 24 mwaka 2009.
Uombaji wa...
Swala lakujizima data limeanzisha vitu vingi kwenye jamii yetu kwakutoa matunda kwa baadhi ya watu na kupoteza watu kwenye ramani. Hapa tunazungumzia style za utangazaji wa biashara, upambe...
Wakuu lazima tukubaliane kuwa maisha yamebadilika sana kuanzia vijijini hadi mijini. Na mabadiliko yametokea ghafla. Ujio wa bodaboda na mabadiliko makubwa ya teknolojia kama uwepo wa mitandao ya...
Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo...
Mimi ni Mkristo Mkatoliki lakini ni freemind,au open mind,freemind ni mtu asiyefungwa na mipaka ya ufahamu wa eneo moja kwa maana nyingine ni msaka maarifa kwa maana elimu ni bahari.
Elimu Zipo za...
Raia mmoja Mkenya amepoteza zaidi ya KSh2.8 milioni sawa Tsh Milioni 57 kwenye jukwaa la kamari la Aviator, pesa ambazo zilikusudiwa kufadhili masomo yake nchini Uingereza.
Dismas Mutai, ambaye...
Tabia ya viongozi au watawala kuwatisha waandishi wa habari ili wasitekeleze majukumu yao ni kinyume na misingi ya uhuru wa vyombo vya habari na haki ya kupata taarifa.
Licha ya serikali...
Siku hizi, likes, views, na followers zimekuwa kama vipimo vya thamani ya mtu. Unapigwa selfie moja kali, unaweka filter, unachapa caption yenye vibes, na boom! 💥 Unapata likes mia tano kwa muda...
Ukisoma chuo kwa kumaanishaha huwezi kuhitaji Kwenda VETA unahitaji kuwatumia vijana wa VETA kutengeneza ajira.
Hiki nadhani ndio kinatakiwa kusisitizwa.
Ubongo wa mtu aloyepitia chuo kwa...
Kina nani hao? Amewaaibishaje? Ntakueleza, ngoja kidogo niwasaidie wale waliokimbia masomo ya sayansi, hasa hasa Fizikia. Ulimwengu wa kisayansi umejengwa juu ya sheria na kanuni zinazoelezea...
WADAU na wafanyabiashara nchini wametakiwa kujitokeza na kuiga mfano wa kampuni ya huduma za kifedha nchini, iTrust Finance Limited kwa kudhamini jitihada mbalimbali ikiwa ni pamoja na masoko ya...
Hili liko wazi na halipongiki.
Kama Waafrika wamesoma hadi kuwa maprofesa na bado hawatambui juu ya uongo ndani ya uislam/ukristo na bado hawatambui wanatoka wapi na wanenda wapi kiasi cha...
Tanzania njoo na akili yako tu pesa utazikuta nchini huu ni msemo wa wageni.
Baada ya kampuni ya ponzi pyramid kuwapiga Watanzania wamekuja kivingine wanajiita DBA, imeanza tarehe 7/3/2025 kwa...
Ukabila Hauna maana yoyote kwa dunia ya sasa, lakini Bado zipo jamii zimekumbatia sana Mila na desturi zao , masai ni Moja wapo.
Tupo Dunia ya kibepari ambayo inahitaji akili nyingi na macho ya...
Kuanzia Kimara Mwisho, Sinza hadi Mikocheni, kila unapopita leo utakuwa huna bahati nzuri kama usipokutana na vibao vinavyotangaza huduma za kuchua (massage). Matangazo mengi ni ya kujinadi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.