Nimegundua kuwa hapa mjini Dar es salaam unaweza ukawa na kajumba na ukaishi maisha magumu.
Ila si rahisi uwe na gari na uishi maisha magumu.
Ukiwa na kagari unaweza kuchukua bidhaa na kufanya...
Habari wakuu,
Serikali ingetunga sera kuwa wahitimu wote wa kidato cha nne waende VETA moja kwa moja kabla ya kuendelea na masomo.
Hilo lifanyike ule muda wanaosubiri matokeo.
Hii itasaidia...
Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali...
Hili swala ni zuri sana,
Ila kuna watu wanajifanya kuwa na ushawishi wa kuhamasisha kujituma ili kupata mafanikio.
Mfano wa watu hawa:
Forex
scammer
makahaba ya grade za juu
watoto wa wakubwa na...
Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?
Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa...
Dini ya Kimbangu (au Kimbanguism) ni dini ya Kiafrika iliyotokana na Ukristo, hasa katika Kongo. Ilianzishwa na Simon Kimbangu (1887–1951), ambaye alitangaza ujumbe wa kiroho na kufanya miujiza...
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa...
Dini ya Jainism ni moja kati ya dini za kale za Uhindi, pamoja na Hinduism na Buddhism. Inafuata mafundisho ya Tirthankaras (waongozi wa kiroho), na Mahavira (aliyezaliwa karibu 599-527 KK) ndiye...
𝗚𝗔𝗭𝗘𝗧𝗜 𝗟𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 𝗟𝗜𝗠𝗘𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗔
4R zaamsha mikutano ya kisiasa!
Wasira awapa somo kubwa wanaohoji deni la Taifa 2024!
Kipigo cha Mwenezi aibu kubwa CHADEMA !
Karibu usome Gazeti zima...
Muimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone, ametoa angalizo kwa wazazi kuhusu ulaji wa mayai ya kuku wa kisasa kwa kudai kuwa yanaongeza ukuaji wa matiti kwa watoto wa kiume.
Muimbaji huyo...
Watanzania wengi kwa kweli labda tuna utaahiria fulani wa kutoweza kufikiri. Katika mazingira ya hali ilivyo Tanzania, nilitarajia kutokee mapinduzi ya kiuongozi aidha wananchi kudai serikali mpya...
Sisi wakulima wa ukanda wa Pwani tunateseka sana na mbolea , hakuna mbolea yoyote ya Ruzuku kwa sasa ilipo kwa mawakala , toka mwezi wa 11 mwishoni, kila wakala anasema serikali haijalipa...
Utangulizi
Vijana wa kileo wanaita utandawazi...kwa kijana wa kileo aidha awe binti ama mwanaume, ukifungua simu yake, asilimia 98 kama hutakuta Wana apps hizi maarufu za kujianika mitandaoni...
aisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga
Kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha
Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.
DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA...
Bei ya mafuta imeendelea kuongezeka kwa miezi miwili mfululizo huku kwa watumiaji wa petroli wakilazimika kuzama zaidi mfukoni.
Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatano Aprili 2, 2025 na Mkurugenzi...
Hiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni,
Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.