Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nikipomleta Sheikh anifanyie dua kwenye biashara yangu, watu wote wakanichukia na kuanza.kusema Mimi ni mchawi. Kuanzia siku hiyo kila MTU anamwaga maji na mafuta kwenye frem yake kama...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimekutana na rafiki yangu mmoja akasema Huwa hampatikani kwa video play,lkn nimejaribu Leo video hazichezi,naombeni mitandao yote ya simu kupitia Tcra via u - tube mtoe access,watu tumetoka...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Na huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback. Awali ya yote mimi ninatumia mitandao yote ya simu yaan Airtel, Yas zamani...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Zab 124:8 SUV [8] Msaada wetu u katika jina la BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. Kwa akili zetu za kawaida tunaweza tukawa tunafikiri msaada wetu wa uhakika tunaweza kupata kwa wazazi wetu...
2 Reactions
4 Replies
301 Views
Salam kwenu.. Nije kwenye hoja.. Hawa walimu wanasikitisha.. Mishahara ni midogo sana.. 200,000/- mpaka 400,000/- kwa mwezi. Kazi ni kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Jumatatu mpaka...
20 Reactions
72 Replies
4K Views
WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha. Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni...
13 Reactions
76 Replies
3K Views
1/ Hiyo ndio halmashauri ambayo wenye elimu ndogo wamekalia nafasi za kiuongozi, hali inayofanya wenye elimu kubwa kukoswa fursa ya kutoa maarifa na kuyasambaza kwa wenye elimu ndogo. kwa mfano...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 19 wanaodaiwa kuwa matapeli kutoka katika makampuni yanayowarubuni vijana kwa kuwafundisha mbinu za utajiri kupitia njia za mtandaoni. Kamanda...
1 Reactions
10 Replies
731 Views
HAKIKISHA una PASSPORT Kama huna sema uelekezwe kwa kuipata Niaje wakuu Lengo la group letu ni kupeana taarifa na mbinu pia scholarship na fursa zote zitazakazotupeleka NJE YA AFRICA. GROUP...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Mimi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba ushauri kwa ndugu zangu wenye experience kubwa ya maisha. Kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira, tunatakiwa kutafuta taaluma zingine za vitendo ili...
7 Reactions
17 Replies
752 Views
Mtasalimiwa na Boss la DP World Nilijua ndani ya ukristo tu ndo kuna madhebu yanayopingana huku yote yakimuamini YESU.Ebu ona hapa. 1.Wakati kuna wakrito wamefunga Kwaresma kuna wakristo hawana...
2 Reactions
14 Replies
766 Views
Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa...
26 Reactions
61 Replies
4K Views
Nimechonga kabati fundi anashindwa kujua vipimo vya iyo ovena yenye jiko la gesi Kwa anaejua upana na urefu msaada plz nalitamani kitchen kabati langu fundi kizingizio chake ndo icho tu Kila...
0 Reactions
1 Replies
393 Views
TAARIFA KWA UMMA (Tunaitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza matukio yote ya Mauwaji, Vipigo na Utekaji, Zanzibar) ACT-Wazalendo, tumepokea kwa mshituko taarifa ya kutekwa, ndugu Fakih Ali...
0 Reactions
1 Replies
540 Views
Bado na wewe siku ya sikukuu , unatoka kama mtoto , na una demand nguo mpya kabisa au umeacha hayo mambo? Mimi nipo kazini
1 Reactions
11 Replies
555 Views
Wiki iliyopita nilibahatika kufika Soko kubwa kabisa la jumla mjini Morogoro linaitwa Mawezi Pamoja na soko hilo kuwa na miundombinu ya kizamani (nafikiri ya miaka 80?) kilicho nishangaza kila...
1 Reactions
3 Replies
398 Views
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ameishukuru Italia kwa kutoa dhamana ya mkopo wa kujenga Reli ya Kisasa (SGR), kipande cha Kwanza na cha pili kuanzia Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma hadi...
4 Reactions
5 Replies
564 Views
Inanishangaza na kujiuliza hivi vituo vya television vya Eatv na Star tv ni vya vituo vya kikristo na kama sio mbona kila asubuhi saa kumi na mbili ni kupiga nyimbo za kwaya tu as if watazamaji...
2 Reactions
16 Replies
927 Views
Nimeuliza tu ili kutaka kujua, maana sijawahi kuona wala kusikia kama wameandaa futari popote kwa ajili ya wengine kama wafanyavyo Waislam. Naomba Kuwasilisha
28 Reactions
334 Replies
10K Views
Kuna watu huwa wanataka kujipambanua kuwa ni waumini wa dhana hii ya MUNGU HAYUPO. Lakini kinachosikitisha upeo wao mdogo sana. Yaani waliamua kudandia hoja ambayo hawana uwezo nayo. Kifalsafa ni...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom