Wanaume tupunguze au kuacha kabisa kuhonga

KUKU_UFUGAJI

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
939
Reaction score
1,844
Hakuna hata haja ya salamu naenda moja kwa moja break ya 1 ni kwenye mada inayohusu kuhonga.
Wanaume tuache kuhonga,narudia tena wanaume tuache kabisa kuhonga, tuwe wabahili sanaa, haya maisha ya sasa hivi yana hitaji ubahili wa hali ya juu.

Pata mwanamke wako mmoja, tulia naye.
Funguka uwezo wako wa kiuchumi kama kumsaidia mahitaji basi isizidi asilimia 10 ya kipato chako kwa mwezi. Ikiwezekana hata asilimia 5 ila usivuke aslimia 10.

Ni aibu mwanamke una muhangaikia sanaa kumuhudumia alafu ina tokea mme kwaruzana kidogo basi ana kimbilia kuachana na wewe, alafu una piga mahesabu jinsi ulivyo kuwa una muhangaikia na kumsaidia shida zake kwa haraka haraka una kuta hakuna cha maana umefanya.

Kesho kutwa yuko na mwanaume mwingine mwenye uwezo kukuliko, ana anza kukucheka, kuku dharau na masimango kibao.

Huu ndiyo mwanzo wa depression kwa wanaume, kukata tamaa na kujiona haufai.

Mimi tangu nime anza ubahili kwenye kuwapa hela wanawake nime ona faida kubwa sana kwenye hela zangu.

Now nina fanya savings na hela naziona, nanunua nguo nzuri nina vaa napendeza wasichana wana niangalia balaaa, yaani now ni mwendo wa kujipenda tuu, kula vizuri,kuvaa vizuri, panga nyumba au chumba kizuri, nunua vitu vya ndani vizuri jaza chumba kipendeze, alafu mwisho wa siku una kuta wasichana wale wale uliokuwa una hangaika kuwatongoza now ndiyo wana kutongoza Wewe, mwisho wa siku una baki na shangaa.

Kweli kuhonga ni laana, plus kujitia umaskini na nuksi juu.

Wanaume tujipange sana nguvu zetu zina isha huko mbeleni tuna elekea kwenye uzee, je now tunacho chochote kitu ila kazi kuhongaa tuu je huko mbeleni bado tutakuwa nacho hicho chochote kitu na maisha yenyewe ndiyo haya pata potea.?

Tukazane kuwekeza wanaume tuache kabisa suala la kuhonga.

Hi ni wa vijana watafutaji na wapambanaji ambao wana jitafuta kimaisha.

N.B Hata kama ukisha jipata achana na kitu kina itwa KUHONGA una jitafutia NUKSI,MIKOSI NA UMASIKINI KWA JASHO LAKO,NGUVU ZAKO NA MIKONO YAKO MWENYEWE.
 
Wengi wa wanaume wanapitia umri ambao watahonga tu hata iweje.

Ila ulichosema ni muhimu wanaume wakizingatie, muhimu sana. Kama watu wanadhani maisha ni simple kama ilivyokuwa 90s hadi early 2000, wajue sasa mambo yamekuwa tofauti.
 
Pole umepigwa na nyundo nzito umekuja kupunguza machungu humu ! Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, kama unapenda watoto wazuri lazima uingie gharama,,,, kama ni mtu wa magube gube yasoeleweka ambayo hayana gharama nenda kajichotee U.T.i

Narudia tena kila mbuzi hula urefu wa kamba yake, pia jikune unapofikia,,,, ! Usiige matumizi !
 
Hakuna hata haja ya salamu naenda moja kwa moja break ya 1 ni kwenye mada inayohusu kuhonga.
Wanaume tuache kuhonga,narudia tena wanaume tuache kabisa kuhonga, tuwe wabahili sanaa, haya maisha ya sasa hivi yana hitaji ubahili wa hali ya juu.

Pata mwanamke wako mmoja, tulia naye.
Funguka uwezo wako wa kiuchumi kama kumsaidia mahitaji basi isizidi asilimia 10 ya kipato chako kwa mwezi. Ikiwezekana hata asilimia 5 ila usivuke aslimia 10.

Ni aibu mwanamke una muhangaikia sanaa kumuhudumia alafu ina tokea mme kwaruzana kidogo basi ana kimbilia kuachana na wewe, alafu una piga mahesabu jinsi ulivyo kuwa una muhangaikia na kumsaidia shida zake kwa haraka haraka una kuta hakuna cha maana umefanya.

Kesho kutwa yuko na mwanaume mwingine mwenye uwezo kukuliko, ana anza kukucheka, kuku dharau na masimango kibao.

Huu ndiyo mwanzo wa depression kwa wanaume, kukata tamaa na kujiona haufai.

Mimi tangu nime anza ubahili kwenye kuwapa hela wanawake nime ona faida kubwa sana kwenye hela zangu.

Now nina fanya savings na hela naziona, nanunua nguo nzuri nina vaa napendeza wasichana wana niangalia balaaa, yaani now ni mwendo wa kujipenda tuu, kula vizuri,kuvaa vizuri, panga nyumba au chumba kizuri, nunua vitu vya ndani vizuri jaza chumba kipendeze, alafu mwisho wa siku una kuta wasichana wale wale uliokuwa una hangaika kuwatongoza now ndiyo wana kutongoza Wewe, mwisho wa siku una baki na shangaa.

Kweli kuhonga ni laana, plus kujitia umaskini na nuksi juu.

Wanaume tujipange sana nguvu zetu zina isha huko mbeleni tuna elekea kwenye uzee, je now tunacho chochote kitu ila kazi kuhongaa tuu je huko mbeleni bado tutakuwa nacho hicho chochote kitu na maisha yenyewe ndiyo haya pata potea.?

Tukazane kuwekeza wanaume tuache kabisa suala la kuhonga.

Hi ni wa vijana watafutaji na wapambanaji ambao wana jitafuta kimaisha.

N.B Hata kama ukisha jipata achana na kitu kina itwa KUHONGA una jitafutia NUKSI,MIKOSI NA UMASIKINI KWA JASHO LAKO,NGUVU ZAKO NA MIKONO YAKO MWENYEWE.
Mwisho wangu kumpa Mwanamke ela Ni Tsh 10,000/= Tena Ni kwa mwezi maisha ya kuhonga nilishaachanaga nayo

Kuna Mwanamke wangu alikuwa anaumwa Kila kitu galama za hospital nilikuwa na galamia Mimi lakini akaja kunipiga down
 
Unataka tuwe waraibu wa puchu.

Hata huyo mmoja utakaemchagua atataka hongo.

No hongo, no papa, no papa, bolo katika kwa kutumia wasafi soap kupiga puchu.
 
Hakuna kuhonga, tena turudie kwa sauti NO KUHONGA. ENOUGH IS ENOUGH
 
Unataka tuwe waraibu wa puchu.

Hata huyo mmoja utakaemchagua atataka hongo.

No hongo, no papa, no papa, bolo katika kwa kutumia wasafi soap kupiga puchu.
Fanya SEMEN RETENTION. Nenda YouTube kasome faida ya hiyo kitu uone jinsi inavyo leta bahati kwa mwanaume.

Toa mbegu zako pale tuu ambapo kuna ulazima wa kuzitoa.

We soma faida ya hiyo kitu alafu urudi hapa, hakuna haja ya kuendekeza NYETO.
 
Mwisho wangu kumpa Mwanamke ela Ni Tsh 10,000/= Tena Ni kwa mwezi maisha ya kuhonga nilishaachanaga nayo

Kuna Mwanamke wangu alikuwa anaumwa Kila kitu galama za hospital nilikuwa na galamia Mimi lakini akaja kunipiga down
Pole sana brother ndio shida yani kitu chochote unachiwekeza kwa mwanamke we hesabu kuwa ni hasara coz mwisho wa siku utakuja kuachwa tu
 
Ahsante sana mkuu mimi mwaka jana niliishi maisha ya peke yangu kiukweli pesa niliiyona halafu nilikuja kuwa na maendeleo makubwa sana ila mwaka huu nilivyowaiingiza wanawake aisee nimejikuta sina maendeleo nikapoteza kabisa focis ya maisha yangu. Now ndio naanza upya tena kujijenga
 
Hakuna hata haja ya salamu naenda moja kwa moja break ya 1 ni kwenye mada inayohusu kuhonga.
Wanaume tuache kuhonga,narudia tena wanaume tuache kabisa kuhonga, tuwe wabahili sanaa, haya maisha ya sasa hivi yana hitaji ubahili wa hali ya juu.

Pata mwanamke wako mmoja, tulia naye.
Funguka uwezo wako wa kiuchumi kama kumsaidia mahitaji basi isizidi asilimia 10 ya kipato chako kwa mwezi. Ikiwezekana hata asilimia 5 ila usivuke aslimia 10.

Ni aibu mwanamke una muhangaikia sanaa kumuhudumia alafu ina tokea mme kwaruzana kidogo basi ana kimbilia kuachana na wewe, alafu una piga mahesabu jinsi ulivyo kuwa una muhangaikia na kumsaidia shida zake kwa haraka haraka una kuta hakuna cha maana umefanya.

Kesho kutwa yuko na mwanaume mwingine mwenye uwezo kukuliko, ana anza kukucheka, kuku dharau na masimango kibao.

Huu ndiyo mwanzo wa depression kwa wanaume, kukata tamaa na kujiona haufai.

Mimi tangu nime anza ubahili kwenye kuwapa hela wanawake nime ona faida kubwa sana kwenye hela zangu.

Now nina fanya savings na hela naziona, nanunua nguo nzuri nina vaa napendeza wasichana wana niangalia balaaa, yaani now ni mwendo wa kujipenda tuu, kula vizuri,kuvaa vizuri, panga nyumba au chumba kizuri, nunua vitu vya ndani vizuri jaza chumba kipendeze, alafu mwisho wa siku una kuta wasichana wale wale uliokuwa una hangaika kuwatongoza now ndiyo wana kutongoza Wewe, mwisho wa siku una baki na shangaa.

Kweli kuhonga ni laana, plus kujitia umaskini na nuksi juu.

Wanaume tujipange sana nguvu zetu zina isha huko mbeleni tuna elekea kwenye uzee, je now tunacho chochote kitu ila kazi kuhongaa tuu je huko mbeleni bado tutakuwa nacho hicho chochote kitu na maisha yenyewe ndiyo haya pata potea.?

Tukazane kuwekeza wanaume tuache kabisa suala la kuhonga.

Hi ni wa vijana watafutaji na wapambanaji ambao wana jitafuta kimaisha.

N.B Hata kama ukisha jipata achana na kitu kina itwa KUHONGA una jitafutia NUKSI,MIKOSI NA UMASIKINI KWA JASHO LAKO,NGUVU ZAKO NA MIKONO YAKO MWENYEWE.
Mwanaume unatakiwa uwe na stoic mindset. Unatoa pesa kwa mke na mchumba ambae una uhakika nae. Hao wengine no funds, ni project hewa
 
Ebu tueleze kijana wameshakutongoza wangapi?

Naona unapenda kutongozwa tongozwa sana🥶

Chunga hayo masega🥶
 
Back
Top Bottom