Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. raraa reree 2. min -me 3. Smart911 4. Anastasia21 5. mrangi 6. Kiranga 7. Tlaatlaah 8. USSR 9. Extrovert 10. Magonjwa Mtambuka 11. Binti Sayuni03 12. leo dada 13. Cocastic
36 Reactions
115 Replies
4K Views
MATOKEO YA USAILI TRA KUTANGAZWA APRILI 25.2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya Usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Mabasi mabovu,yanamaliza raia mwanga! -- Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi kampuni ya Mvungi walilokuwa wakisafiria kupinduka katika milima ya Pare, Wilaya ya Mwanga mkoani...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Tumewasikiliza vijana wa Mirerani kuhusu huduma rafiki za afya ya uzazi, na tumepata maoni ya wanakijiji wa Naisinyai kuhusu ushiriki wa watu wenye ulemavu kwenye uongozi na mikutano ya maamuzi...
3 Reactions
5 Replies
405 Views
Jina la Mwokozi YESU libarikiwe karibu tujifunze biblia. Tabia ya kujifanya hujui na ilihali unajua ni mbaya na hatari, kwani ni sawa na kumjaribu MUNGU.. Kipo kisa kimoja kwenye biblia cha watu...
1 Reactions
0 Replies
275 Views
EPUKA KUJIFANYA HUJUI. Jina la Mwokozi YESU libarikiwe karibu tujifunze biblia. Tabia ya kujifanya hujui na ilihali unajua ni mbaya na hatari, kwani ni sawa na kumjaribu MUNGU.. Kipo kisa...
1 Reactions
1 Replies
247 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeridhishwa na ujenzi wa jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inayojengwa Mji wa Serikali Mtumba...
1 Reactions
1 Replies
365 Views
(Mafunzo maalumu kwa watoto na walezi). Kama wewe ni mtoto basi jifunze haya, na kama ni mzazi basi pia jifunze haya na pia mfunze mwanao… Mambo ya Walawi 19:3 “Kila mtu na amche mama yake, na...
2 Reactions
2 Replies
356 Views
Wakuu wenye uzoefu hivi ukifuga fisi unakuwa unamfanyia nini? Yani anakuwa kama mbwa au? === Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga, ametangaza msako mkali wa fisi baada ya tukio la...
1 Reactions
11 Replies
799 Views
Kwa kipindi sasa tumekuwa na hizi hospital zenye kutibu kwa miti shamba maarufu kama hospitali za tiba mbadala au herbal clinics. Sina hakika sana taaluma za watoa huduma hizi japo wanajiita...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Nahitaji kitabu hiki: "Alkaline Herbal Medicine: Reverse Disease and Heal the Electric Body"
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Nimejaribu kupiga simu kwa NMB huduma kwa mteja (customer service), tokea wiki iliyopita lakini cha ajabu hakuna simu inayopokelewa hadi leo! Sidhani km kuna kampuni mbovu kwa “customer service”...
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Wakristo kufuturisha waislamu badala ya wakristo wenzao mwezi huu wa kwaresma inafikirisha sana. Mfano mama Janeth Magufuli aliandaa futari maalum kwa waislamu wanaoishi chato hali ya kuwa yeye...
13 Reactions
129 Replies
5K Views
Halmashauri ya Chemba imepokea Shilingi bilioni 2.7 kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka 2024 na 2025 ili kusaidia ruzuku kwa kaya masikini wilayani humo. Mratibu wa TASAF wa...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto kadhaa ndani ya mfumo wa Chuo Kikuu cha SAUT (Augustine University of Tanzania - SAUT), ufafanuzi umetolewa. Mwanachama huyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ujumbe huu ni maalumu kwa mabinti/wanawake, napenda uelewa haya na uishi nayo. Fahamu kuwa Mungu amekuumba mwanamke wa thamani. Huhitaji kufanana na tangazo la televisheni la mwanamke mzuri sana...
1 Reactions
4 Replies
292 Views
Sherehe zinapofika – iwe ni Krismasi, Eid, harusi, au hata birthday ya bibi – kuna kitu kimoja hakikosekani: kukutana na ndugu. Na hapa ndipo mambo huanza kuwa moto! 😂🔥 Kwa wengine, hii ni nafasi...
4 Reactions
17 Replies
906 Views
Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu, hasa wale waliomaliza degree katika vyuo vikuu. Wakati huo huo, nafasi za watendaji wa vijiji na mitaa...
1 Reactions
6 Replies
646 Views
Wadau wa mahakama mkoani iringa wametakiwa kutenda haki wanapokuwa katika majukumu yao ikiwemo kujenga ukaribu kwa wananchi wakati wa wanapotoa huduma za kimahakama. Akizungumza wakati wa...
1 Reactions
2 Replies
350 Views
Back
Top Bottom