Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu. Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Hii brender nimeagiza kutoka china kupitia kikuuu Thamani yake ni 45000/= Ile nimepokea Toy
12 Reactions
10 Replies
788 Views
Familia ya NEEMA inaendelea kusisitiza, Nurse Kwa mara ya Kwanza alimletea NEEMA mtoto akiwa kwenye Kanga nyingine ( Hapa Mtoto anaweza kua alikua ndie ila tu Kanga zilichanganywa). Baada ya...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Hebu fikiria umeshika kitu kizito Tena kizito sana, kiasi kwamba kijiko kimoja cha chai kinamshinda kila binadamu kukinyanyua.... Kwenye maisha ya Anga juu Kuna wakati Nyota kubwa zinafika mwisho...
1 Reactions
3 Replies
298 Views
Basi bwana leo nikaamua kupiga nguna na dagaa (chakula changu pendwa) nikaamua kuchat na Ai hizi sio zote ila nitaweka part nilizozipenda Cheki msosi kwanza... Oya dagaa zinamchanga sana...
0 Reactions
18 Replies
894 Views
Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa...
2 Reactions
14 Replies
779 Views
Mnisaidie kupata lain niliyekopa Toka mwaka 2023 naitumia njia ipi
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo...
1 Reactions
13 Replies
864 Views
Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could...
10 Reactions
15 Replies
811 Views
Mirungu ni Biashara haramu hapa nchini yenye pesa nyingi, bangi haisogelei. Biashara hizi ni za cartels vikundi vilivyojiwekea utaratibu maalum vikiongozwa na madon wakubwa, inapotokea...
0 Reactions
13 Replies
776 Views
Habarini, Kama Yesu na Muhamadi ni uhalisia basi lazima walishiriki vita ya I&II ya dunia,sasa kwanini Mungu alikubali Waafrika ndiyo wakapigane vita isiyo yao? Walikuwa wapi??
1 Reactions
9 Replies
331 Views
Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu. Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG. Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba...
30 Reactions
192 Replies
6K Views
China ni kirusi ambacho wenye akili washakishtukia ila mataifa yaliyolala naona bado tunamchekea tu Ukitaka kumjua mchina ni kirusi muulize jux alishawahi kutengeneza Tshrts hadi kofia zake zenye...
0 Reactions
2 Replies
346 Views
Aisee shukuruni nyie mpo mtandao nyeti wa JF kidogo mna ujasiri ila wenzetu huko mtaani wazee kwa vijana bado wanatuma nauli kwa sababu ya kupagawa na account fake za facebook. Mtu anajifanya demu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimetembea Kila bank wamekataa kununua deni wakidai mfumo wa kununua na kuuza madeni umeondolewa mpaka pale watakapo uunganisha na PEPMIS. Ni muda Sasa na bado hawajawezesha msimu wa kilimo ndo...
0 Reactions
2 Replies
696 Views
Kila mwaka mnamo Aprili 1, Siku ya Kimataifa ya Ndege hutukumbusha jukumu muhimu la ndege katika kudumisha usawa wa ikolojia. Ndege huchangia afya ya mfumo wa ikolojia, udhibiti wa wadudu na...
1 Reactions
15 Replies
684 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima amesema kwamba kukosekana kwa taarifa sahihi za kutosha kuhusu namna Wanawake wanavyoweza kupata fursa za mikopo...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Nchini Korea Kaskazini (Na. 1 kwenye Orodha ya Waliotazamiwa Ulimwenguni 2024) ambako Wakristo wanachukuliwa kuwa “tabaka la uadui,” kuwa na Biblia ni kinyume cha sheria . Kuwa na Biblia ndani yao...
2 Reactions
12 Replies
696 Views
Asubuhi napendelea kula Mayai,yoghurt na cheese Mchana napendelea kula salad/mboga za majani na samaria au kuku Usiku napendelea kula samaki na mboga za majani ,milkshake na matunda -C Ronaldo...
1 Reactions
3 Replies
325 Views
Mimi ninaa amini ktk Ukuu wa Mungu, ila siwezi to ufafanuzi mpana ktk hilo. Ila katika Maisha yangu binafsi Huwa namshukuru Mungu kwa Kunijaria Bahati Hii Bahati ninayo toka kuzaliwa. 1...
10 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom