Hapa Manispaa ya Songea, ni kama viongozi wameweka pesa mbele kuliko kuwajali Wananchi kutokana na mazingira yalivyo.
Binafsi sijui wanazingatia nini au vigezo gani kumpa tenda mtu ambaye kazi...
Wakuu,
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita...
Wakuu,
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini mwa bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia)...
Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa ameandika andiko kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii kama maoni yake binafsi kuhusu sakata la wanachadema...
Wasafiri mnaopitia barabara hii hakika wanaona adha kubwa na taabu na uharibifu mkubwa wa barabara hii. Barabara hii ilijengwa na kuisha mwaka 1980 na Kampuni ya Lanari ya Italia na tangu wakati...
Barabara ya kutokea Mvuha kupitia Kibungo Chini Mission kuja mpaka kutokea eneo la Mikese imekuwa kero kwa kila raia anayeitumia, na ajabu ni kuwa barabara hii imekuwa hivi kwa muda mrefu na...
Kongamano muhimu likijadili mauaji ya kimbari yaliyobeba sura ya kisiasa, kiasi kuna sehemu ya jamii kukataa kuwa 1994 Mauaji ya Kimbari hayakutokea, leo 2025 yanapitiwa kuangalia nini kifanyike...
Wakuu wale wanaosafiri toka Dar kwenda mikoa ya kusini yaani Mtwara na Lindi tunawaombeni mchukue tahadhari kwani daraja maeneo ya Somangafungu limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha...
Chuo Kikuu cha Iringa mpaka leo hii hatujalipwa fedha zilizozidi sababu tukiwa mwaka wa 2 serikali iliongeza ada kwa sisi wanufaika wa mkopo na wakati tulikuwa tushalipa tukaahidiwa na chuo...
SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni...
Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya...
Uongozi wa Wilaya umetoa maelezo kuhusu madai ya kuwepo kwa Wananchi ambao hawajalipwa fidia ya kuhama katika Bonde la Mto Ruhila ambapo wametakiwa kuhama ili kupisha sehemu hiyo ya hifadhi.
Mdau...
Katika pitapita za kila siku mtaani, hivi karibuni nilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa Bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali ya hatari kwa afya. Kiukweli mambo si shwari katika eneo...
Kutokana maarifa pamoja na uzoezi wa zaidi miaka saba (7) tulionao kwenye eneo la Uhasibu(Accountancy) na kodi (Tax consultancy) nimebaini changamoto ambazo kampuni nyingi za CLEARING & FORWARDING...
Kutumia hashtag vizuri ni kama viungo kwenye mitandao ya kijamii, vinaweza kuongeza ladha na kusaidia maudhui yako kufikia hadhira yako na kuwafikia watu wengi zaidi.
Hii itakusaidia kuongeza...
Natangaza hali ya hatari Maana Viongozi Wa ngazi ya Mkoa, wilaya mpaka kata shinyanga mjini wamelala na wameamua kupuuzia suala la biashara ya Ngono inayoendelea shinyanga mjini mtaa wa JOMU...
Namshukuru Mungu huu mwaka angalau nilifanikiwa kutimiza ndoto yangu ya kuwa mama. Haikuwa rahisi ila ni kwa neema tu.
Pia namshukuru mzazi mwenzang double click kwa kila jambo hata kama...
Uchafu umejazana sana eneo la Boko Mgengeni kwa siku kadhaa sasa na hakuna hatua iliyochukuliwa kutoa taka hizo ambazo zinasambaza halufu mbaya zaidi.
Mbaya zaidi taka hizo zimewekwa mbele ya...
Wakazi wa Magomeni Mtambani tupo hatarini kwa magonjwa ya mlipuko, magari ya kubeba takataka yanakaa mpaka mwezi bila kuchukua takataka na takataka kuzagaa mitaani.
Pia soma
- DOKEZO - Magomeni...
Wakazi wa Mtaa wa Magengeni, Kijitonyama, wamejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya ujenzi ulioanzishwa na jamaa mmoja kusitishwa kwa siku tatu huku ukiwa tayari umesababisha uharibifu mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.