Soma Kwa makini utapata vitu........
"ISHI NA WATU VIZURI" Hii kwetu hapa Tanzania ni kama ndo FALSAFA yetu. Ni FALSAFA ambayo inaaminika sana na inategemewa sana na waovu na hata watu wema...
Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.
Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.
Mwanzo...
movie Time 🔥🔥🔥
Kuna nyakati inabidi tuangalie na sehemu tunazotafuta maisha 😌
Vijana walipoona pesa zinapatikana baharini wakaamua watazitafute kilichotokea hawakusahau kwenye maisha yao yote...
Habari Wana JamiiForum, naomba msaada wa topics zinazopatukana kwenye mtaala mpya wa A level katika masomo ya Biology, Chemistry na Physics, watakao anza nao form five wa mwaka 2025.
Lakini pia...
Kila mtu anapofariki hata kama ni kijana mdogo kabisa kauli utakazozisikia ni "mapenzi ya mungu", "mungu amempenda zaidi" na kauli nyingine za aina hiyo, sasa kwa nini mabilionea mungu hawapendi...
"The Keys of This Blood" ni kitabu maarufu sana kilichoandikwa na Malachi Martin, kilichochapishwa mwaka 1990.
Muhtasari wa Kitabu:
Jina kamili: The Keys of This Blood: Pope John Paul II Versus...
Mtu asiye na upendo kwa miti hana huruma kwa maisha na asiyejali wanyama hana utu wa ndani.
Miti inatupatia hewa safi, kivuli, na uhai, wakati wanyama ni sehemu muhimu ya mfumo wa maisha duniani...
Uhali gani mwanaJamii Forum?
Nimekaa hapa geto kwangu nikawa na-review matukio ya kwenye historia niliyoanza kuisoma tangu mtwivila primary school, Tegeta secondary school, na Lufilyo high school...
Panya Ronin amekuwa panya wa kwanza kugundua zaidi mabomu 100 ya kutegwa ardhini na mabaki mengine ya zana za kivita ambazo zinaweza kusababisha maafa nchini Colombia
Panya huyo mkubwa kutoka...
Inadaiwa panya huyu ameleta heshima kubwa sana kwa Nchi yetu kuliko hata binadamu , kiasi cha kustahili kuzikwa kitaifa , hii ni baada ya kufariki huko ughaibuni alikokuwa kikazi.
Pia soma >...
Udaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical...
Nduguzanguni nimepotezana na mtu wa muhim sana kwangu mda mfupi uliopita nahuzunika sana amepotea hewani tokea mwezi wa pili mwanzoni
Ni jamaa nlikutana nae tu kwenye biashara zangu alikuwa...
Habari wakuu
Nimejaribu kupitia nyuzi za waliomba msaada wa njia nzuri za kujiua wameandikiwa R.I.P kwenye profile zao. Hii inamaanisha wapendwa wetu walikua na Nia ya kweli ya kujiua.
Muhimu...
Hali ya usalama wa mali za raia inatia wasiwasi sana kwani kwa sasa mfululizo wa jumbe za utapeli umekuwa kwa kasi sana.
Linalotia shaka zaidi ni pale unapokuwa mtu wa kufanya transactions mob...
Utapeli kwa njia ya kimtandao ya simu umekuwa ukishika kasi kila siku, kama TCRA wangekuwa kweli wana nia ya kutokomeza ama kupunguza,ingewezekana.
Wana namba yao, wanadai ukituma sms ya namba ya...
Kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu,Edith Swebe(ACP)amewaonya walinzi shirikishi Sungusungu mkoani humo kuacha mara moja tabia ya kujichukulia sheria mkononi.
Onyo hilo amelitoa wilayani Itilima na...
Tanzania ni moja ya nchi ambayo hutaacha kushangaa ya walimwengu. Wengi wa waswahili wanajua kila mwenye pesa ni mwizi wa Mali ya umma.
Hivyo kwa kutambua hilo nimeona niliweke wazi kwa huyu mkuu...
Baada ya kugundua kila ninapojadiliana na mtu kwa simu a u meseji kuhusu masuala ya kutumiana pesa, ghafla natumiwa meseji za “hiyo pesa tuma kwenye namba hii”, napendekeza hili
TCRA watunge...
Ni wazi waAFRIKA wamekuwa WAJINGA kiasi cha kurithi na kukumbatia SHERIA,DINI na KATIBA kutoka kwa wakoloni na wameshindwa kabisaa kujua vyote hivi vilikuwa kwa masilahi ya wakoloni?
Wamekumbatia...
Kuna muda ni vyema kuyakubali mabadiliko ili kileta tija na ushindani katika sekta zetu za maisha,wakati mwengine akili ya binadamu ipo based on benefits bila ya kucompare athari ya hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.