Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua...
1 Reactions
6 Replies
444 Views
Wana JAMII FORUMS naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY? KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya juma3 nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
2 Reactions
4 Replies
387 Views
Mpaka sasa bidhaa ninazozijua ni 1.Google, 2.AI Sina uhakika 3..com domain 4.Apple 5.MGM van Sina uhakika 6.USA Aid 7.ongezeni na nyingine hapo ili tujue........
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Wakuu naombeni msaada kwa anayefahamu mimi kitambulisho changu cha NIDA kina majina Matatu ila sasa kuna herufi moja imeongezeka kimakosa kwenye jina la mwisho la kitambulisho changu cha NIDA...
5 Reactions
15 Replies
746 Views
Wakuu, sikejeli mtu hapa, lakini lazima tuambiane ukweli. Miaka 40 siyo ya kutafuta ajira, umri huo wewe ndio unatakiwa utafutwe eidha na taasisi za kiserikali au sekta binafsi. Hapa watakuwa...
1 Reactions
4 Replies
401 Views
Aaah haya maisha bwana mi yanaelekea kunishinda kabisa. 25 yrs bila happiness na bado kuna kiza! Muda wa kujaribu upande wa pili sasa! Hivi ni sumu gani inaua bila mateso na kwa uhakika?
18 Reactions
614 Replies
68K Views
Jana jioni majira ya saa 11 Jioni nilitaka kufanya malipo ya king'amuzi kupitia benki flani mtandao ukawa unagoma kukamilisha muamala huo, nikajaribu benki nyingine shida ikawa ni ileile...
3 Reactions
6 Replies
724 Views
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeongeza muda wa mwisho wa usajili kwa taasisi zote za umma na binafsi ambazo hazijajisajili kabisa na ambazo hazijakamilisha hadi kufikia tarehe 30...
1 Reactions
2 Replies
581 Views
Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu. Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo...
2 Reactions
5 Replies
719 Views
Karibia mwaka sasa Azamtv wamesitisha ku promote ndondi...mpaka sasa wale mabondia wameanza kusahaulika... Viongozi wa ndondi wakaiangukie Azam na kuweka michezo hiyo kwenye channel zake...
4 Reactions
9 Replies
704 Views
kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu...
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Insha'allah, mwisho wa mwezi huu nitakuwa Tunduru kwa wiki moja moja Kati ya tarehe 23 hadi 30. Hoteli ipi nzuri ya kufikia? Viwanja? Vipi kuhusu utalii wa ndani? Nipeni kuhusu ABC zake. With...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Wasalaam Mwaka 2019 sitausahau kwa tukio hili Kwa kifupi mimi ni mwenyeji sana wa maeneo ya Kimara Suka na Temboni Maisha yaliniendea poa baada tuu ya kumaliza chuo...lakini hapo katikati...
20 Reactions
93 Replies
4K Views
Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti...
7 Reactions
65 Replies
14K Views
Habari za muda wana JF Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja. Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu. Nimekuja sasa hivi...
31 Reactions
76 Replies
4K Views
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini. Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime...
55 Reactions
278 Replies
22K Views
Ni takribani miaka 7 tangu nimehitimu bachelor degree sijawahi kupata ajira? Nimefanya sana vibarua viwandani, mashambani n.k kiukweli hela unayopata ni ya kubangaiza tu sio ya kukuwezesha kuishi...
36 Reactions
139 Replies
8K Views
Ni miaka 15 sasa imepita tangu ninusurike kuuawa na walimwengu. Nilikuwa nikiishi Tabora, na jioni moja, nilikuwa natembea mjini Tabora. Wakati natembea, nikajihisi kubanwa haja ndogo, nikawa...
45 Reactions
141 Replies
6K Views
Back
Top Bottom