Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
9 Reactions
88 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe.George Mkuchika amekabihi pikipiki Saba zenye Thamani ya Shilingi Mil.22 kwa kikundi cha waendesha pikipiki (bodaboda) Itumbiko kilichopo...
1 Reactions
9 Replies
499 Views
Ndugu abiria tunapenda kuwafahamisha kuwa ndani ya basi letu tuna huduma ya choo kwa ajili ya haja ndogo pekee! Kama utakuwa na uhitaji wa ziada usisite kuomba msaada wa kondakta. Hii ni kauli...
3 Reactions
0 Replies
340 Views
Kwa yeyote yule mwenya historia ya tukio hilo lililotokea zaidi ya miaka 20 iliyopita atupe japo dondoo kazaa,
1 Reactions
28 Replies
15K Views
Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Madaktari msaada tafadhal, Nini shida hapa na Nitumie dawa Gani maana Nisha chomwa injection kama gentamicin na penadol lkn Bado Ngoma ngumu,.
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Imekuaje Swiss Air wamesitisha safari kimya kimya? Japo walikua wabaguzi lakini walipendezesha JNIA.
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Freemason ndio walioongoza American Revolution of 1776. Pia Freemasons wameiratibu French Revolution ya 1789. Na mambo mengine mengi katika historia yamefanywa na Freemasons. Siku hizi kuna...
3 Reactions
2 Replies
481 Views
-UTAFITI UNAPINGWA NA UTAFITI-- Utafiti mpya uliofanyika nchini Tanzania na kuchapishwa na jarida kubwa la Nature Medicine la nchini Uingereza, umebaini kuwa lishe ya asili ya Kiafrika ina faida...
12 Reactions
100 Replies
3K Views
Hali ya Uchungu imerejea kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni ambao walipata hasara ya kuunguliwa na kupoteza mali zao zote katika ajali ya moto ulioteketeza soko zima la mbuyuni na kuwaacha...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Anatafutwa Dada wa kazi kwa ajili ya kumlea mtoto wa miezi 9. Umri wake iwe ni kuanzia miaka 30 hadi 40. Mahali pa kazi ni mbezi dar es salam. Nicheki inbox tuongee.
4 Reactions
7 Replies
557 Views
MAWASILIANO YA BARABARA KATIKA DARAJA LA SOMANGA YAREJEA Mawasiliano ya barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara yarejea katika eneo la Somangafungu Mkoani Lindi...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
Kuna ukweli gani kwamba Mungu ndiye huwafanya baadhi ya watu kuwa matajiri mamilionea, mabilionea hadi matrilionea huku akiwafanya wengine kuwa masikini mafukara wa kutupwa, omba omba na...
0 Reactions
1 Replies
280 Views
Watoto wangu nimewaamishia Mlimani primary school iliyopo udsm ambayo ni english medium primary school inayomilikiwa na serikali Siamini kabisa kwenywe primary schools zinazomilikiwa na watu...
20 Reactions
99 Replies
4K Views
Jamani jamani… dunia hii kweli ni kitendawili kigumu! Leo tena nimerudi na habari mpya — panya mmoja anaitwa Ronin, si tu ana ajira ya kudumu ya kutegua mabomu, bali tayari ameshapanda ndege...
8 Reactions
20 Replies
910 Views
Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/= Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/= Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/= Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/= Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/= Swali ni je...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeshughulikia kwa haraka hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama, na kwa sasa barabara hiyo inapitika kama...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
Lengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya Leo nawatania ndugu zangu Wachaga, mlikuwa na Chama cha CHADEMA mmezubaa mpaka kimeondoka, mali yenu...
5 Reactions
27 Replies
957 Views
Ni yule yule aliyelamba asali ya lowassa 2015 na kumpitisha kuwa mgombea kwa kubadili gia angani. Ni yule yule aliyekuwa nyuma ya Covid19 akiwafundisha mbinu za kuwaingiza bungeni viti maalum kwa...
2 Reactions
7 Replies
529 Views
Back
Top Bottom