Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hili swali lingekuwa halina maana kama yasingetokea leo ya kujiuzulu nafasi nyeti ya ubalozi nchini Cuba na uwakilishi wa mataifa jirani na Cuba Tatizo sio kujiudhulu bali ni sababu za...
54 Reactions
171 Replies
10K Views
Angalau tusherekee kama taifa kutimiza mwezi mmoja bila kuskia taarifa za kutekwa kwa raia wa kitanzania..... Hongereni sana vyombo vya ulinzi na usalama kuimarisha ulinzi...
1 Reactions
16 Replies
201 Views
Wakuu, Isijekuwa huyu mwamba kajichimbia mahali kuwahadaa hawa wakuu wa baadhi ya nchi alizokuwa anaonekana nao. Katika nchi zote alizokuwa anazitembelea na kukutana na marais wa hizo nchi...
5 Reactions
19 Replies
402 Views
Nisiwe mwingi wa maneno wakuu mko poa? Jamani mimi katika kufanya side hustles nikaona nijiongeze kufanya kazi ya kupiga picha na kuziuza. Kifaa nilichokuanacho wakati napata hilo nsimu pixel 8a...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa...
3 Reactions
19 Replies
900 Views
1. Stories na Marafiki 2. Games 3. Mitandao ya kijamii 4. Movies na Series
0 Reactions
2 Replies
64 Views
Kila mmoja wetu amepitia jambo fulani ambalo kwa wakati ule aliona kabisa, “hapa sijui nitavukaje.” Kuna waliopitia magumu ya kifedha, afya, familia, kazi, mahusiano, misiba, madeni, au changamoto...
3 Reactions
10 Replies
97 Views
Kile kinachoendelea cha usafi na kuzuia biashara katika maeneo Yasiyo ramsi kinachonekana ikifanyika katika wilaya zingine huku wilaya ya Ubungo Mambo yakiendelea opposite. Katika wilaya ya Ubungo...
1 Reactions
3 Replies
65 Views
Hili eneo kwa sasa sio maarufu kama miaka ile ya 80- 90. Hapa ilikuwa ndio kama kituo kidogo cha abiria wa mikoani. Wale wauza mikate wa stendi ya mkoa zamani walikuwa wanauzia pale Kibo. Ilikuwa...
46 Reactions
329 Replies
48K Views
Hivi haya mafundisho tunayopewa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa hivi hivi au kwa wazungu wanapewa mafundisho yao mengine japo dini moja. Kuna vitu ukivisikiliza kwa masheikh au...
5 Reactions
16 Replies
228 Views
Ni kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi kwa nyakati hizo?
0 Reactions
19 Replies
96K Views
Hivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy. Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile...
13 Reactions
79 Replies
743 Views
Video inayomwonyesha askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) akijibizana na kutoa matusi ya nguoni dhidi ya dereva, imeendelea kusambaa kwa kasi na kuibua mjadala mzito miongoni mwa wananchi kuhusu...
7 Reactions
12 Replies
285 Views
Wakuu ! Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje Nadhani aina hii ya utajiri...
6 Reactions
77 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja ameeleza kuwa kwa muda wa miezi mitatu, mwanaye mdogo wa kiume alikuwa akisumbuliwa na tatizo la viungo vyake vya siri (uume) kuongezeka ukubwa ghafla na kuwa kama vya mtu mzima...
6 Reactions
26 Replies
314 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limeanza kuchunguza picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikimuonyesha askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani akimshambulia dereva wa lori. Polisi...
1 Reactions
13 Replies
248 Views
Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani. Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele...
27 Reactions
256 Replies
26K Views
Kuna watu wanaamka asubuhi wakiwa hawajui leo watapata nini, lakini bado wanaamka na kutoka kutafuta. Kuna anayezunguka mjini bila kazi. Kuna anayebeba CV mfukoni kila siku. Kuna anayesubiri simu...
8 Reactions
53 Replies
432 Views
Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa. Nimefeli maisha ila sijakata tamaa. Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya...
43 Reactions
175 Replies
3K Views
★ Asema maeneo yanapoachwa kama mapori hujenga dhana kuwa hayana mwenyewe Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Back
Top Bottom