Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

BA AURA

Member
Joined
Jun 10, 2026
Posts
17
Reaction score
72
Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
 
mwandiko wako tu unatosha kujua ufahamu wako
 
Ni nadharia yako kuhusu kifo cha chivayo! Udhaifu wa hoja yako ni kwamba umejikita zaidi katika umbeya na siyo fact za kisayansi, kama vipimo vya utambuzi.

NB. Kujadili hoja yako ni sawa na kuujadili umbeya.

Na aina ya watu kama ninyi mmejaa sana huko makazini, kwenye vikao mhimu mnakalia kujadili umbeya kuliko mambo ya uendeshaji na uzalishaji.
 
Sawa mkuu
 
Hayo ni mawazo yako tu!
Unataka kutwambia kuwa ndege ilijiendesha bila ruban?, kama kulikuwa na ruban, je alikufa kwa kujitoa mhanga kama kwel ni ajari ya kutengeneza?

Inamaana wale wataalam waliofika pale kutwaa masalia ya miili wametudanganya kuwa masalia yalikuwepo, (kama hakukuwa na masalia ya miili, nin kiliwekwa katka ile mifuko)?

Mtu maaruf kama yule anaweza kuish wap asijulikane, kama kaamua kutafta maisha privet kupitia ajar ya uongo!?

Conclusion; Jamaa kafa ki ukwel ukwel kabsa, kupitia hiyo ajari!
 
Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
Ajifiche kwa Wamarekani?Labda siyo hawa Waamerika,kuna wengine!
 
huyu alifanya JF ikafungiwa kwa picha zake , KAFAAAA
 
Hilo tukio linafikirisha sana aisee.
 
Mleta Uzi mi nadhani ni mtazamo wako,kama ni mtazamo wako hatupaswi kukudhihaki kwa namna Moja au nyingine .
Kwanza Kuna mambo unapaswa uyahjue na kuyafaham pia
1.yule ni mtu mwenye title kubwa ndani na nje ya chi yake pia
2.Taarifa zake za kifo hazikutoka tu ,yapo mambo ambao vyombo vya ulinzi na usalama vilijirisha pasina shaka ,ndyo maana taarifa ilitoka ikawa public
3.Tukio lile la helicopter ,pamoja ni helicopter ni ya kwake haifanyi safari bila utaratibu au mamlaka kujua
4.Mara baada tukio lile mamla za usalama hujiridhisha na kutoa taarifa yenye ukweli ,ndyo maana taarifa ya Salam kutoka nchi jirani huchukua masaa kadhaa kabla ya salaam za rambirambi .c kwa kuwa wanakuwa busy isipokuwa vyombo husika kujirishisha kwanza
Jamaa kadead,apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom