Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,455
- 286,863
Kwenye kitabu cha Mungu (Biblia) ukisoma Mathayo 11:28-30 imeeleza namna Mwenyezi Mungu alivyoelekeza wote wenye makandokando na mizigo waje kwake ili awapumzushe, kwa maana ya kuwaokoa
Sasa imekuwaje Nabii Mwamposa kumkataa Tajiri Chivayo, ambaye labda angemkiri Yesu Kristo na pengine angetubu dhambi zake na kuingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika Pekazi?
Sasa imekuwaje Nabii Mwamposa kumkataa Tajiri Chivayo, ambaye labda angemkiri Yesu Kristo na pengine angetubu dhambi zake na kuingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika Pekazi?