Habari wana Jamiii. Wenzangu.. Bila kupoteza muda. Nimeamua kushare na wenzangu humu jukwaani uzoefu wangu niliopitia katika ndoa. Ipo hivi nime ngundua kufanya Utafiti usio rasmi.
Kuwa mwanamke...
Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu...
Ndugu zangu watanzania nilikaa kimya sana baada ya kuligundua ili swala, kutokana nilikuwa nalifanyia uchunguzi swala hili.
Ndugu watanzania nyuma kidogo chid alikuwa anaishi kwa lamwai Durban...
Sheikh Kishki amewachana Waislamu hasa masheikh kwa unafiki wao
Anasema kazi yao ni kusubiri maskofu waseme jambo nao waingilie kupambana na maskofu. Kwamba masheikh ni wanafiki badala ya wao...
SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeeleza kuwa haijatoa tamko au agizo lolote la kufungia au kupiga marufuku mtandao wowote wa kijamii Tanzania.
Mamlaka hiyo imeeleza haya ikijibu barua ya...
Sativa amesimulia kwa kina tukio la kutekwa kwake jijini Dar es Salaam, ambapo alifunikwa kwa mask yenye matundu ya macho na mdomo yaliyogeuzwa nyuma. Alisafirishwa kwa gari aina ya Hilux Double...
Baadhi ya mawazo huzaliwa yakiwa kamilifu kabisa tangu mwanzo. Hayahitaji marekebisho, uendelezaji zaidi, wala kisasaisho. Yanabaki jinsi yalivyo.
Mfano bora wa hili ni pini ya usalama (safety...
Sisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza...
Kupitia programu ya Learning for Life, vijana wanapata mafunzo ya kina yatakayowawezesha kufanya kazi kwenye sekta ya utalii kwa weledi. Mafunzo haya yanalenga kukuza huduma bora kwa mgeni...
Wiki iliyopita niliandika kuhusu Kivuko cha MV Pangani kinachofanya safari zake Pangani na Bweni hapa Mkoani Tanga kuwa kimekuwa na changamoto ya kupata hitilafu za mara kwa mara kiasi kwamba...
Unamlinda mtoto nyumbani kwa kutoangalia mamiziki na movies za kipuuzi lakini unakutana nayo kwenye mabus siku ya kusafiri na mtoto. Mamiziki mengi Kwenye mabus ni ya kipuuzi yenye kutikisa...
We fikiria,
Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri.
Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia?
Yani kwanini watu wa...
Mkurugenzi
Polen na KAZI Bwana Yesu asifiwe na asllam alyekum
KUNA MSIBA umetutokea. Marehemu n member WENU
Wakati WA MSIBA akatokea NDUGU MMOJA na kusema Pssf wanatoa pole kwa marehemu mkirudi...
Kuna jambo ambalo waliopo nje ya Zanzibar hawaelewi utamaduni wa Wazanzibar katika shughuli za Maziko awe ni Mzanzibar Mkristo au Mwislamu.
Ni Hivi Wazanzibar ni watu ambao wana utamaduni wa...
Taasisi nyingi za tafiti za masuala ya kisiasa, kitaifa na kimataifa zipo katika michakato mballimbali ya kitafiti ya kukusanya maoni na mtazamo ya wanainchi kuhusu mustakabali wa matokeo ya...
Naomba ushauri nasaha juu ya chakula cha mbwa (German Shepherd) mwenye umri wa miezi 2-3. Nitashukuru pia ukinielekeza duka lenye bei rafiki kwa hapa Dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.