Andre02150
JF-Expert Member
- Feb 2, 2010
- 332
- 129
Naomba ushauri nasaha juu ya chakula cha mbwa (German Shepherd) mwenye umri wa miezi 2-3. Nitashukuru pia ukinielekeza duka lenye bei rafiki kwa hapa Dar
Mkuu hao mbwa hawanaga bei rafiki aisee chakula chao ghali kuliko chakula cha binadamu, shopping yao hao Mlimani CityNaomba ushauri nasaha juu ya chakula cha mbwa (German Shepherd) mwenye umri wa miezi 2-3. Nitashukuru pia ukinielekeza duka lenye bei rafiki kwa hapa Dar
Ahaaaaa ni nguruwe anakula mkuuChukua mapumba, changanya na dagaa halafu chemsha ukiwa mzito kama uji mpe
Tena malapulapu weekend tanaka mpaka J5, siku nyingine dagaa.Weka Oda YA malapu lapu buchani unachemsha na kuweka Unga kidogo Sana,,, siku nyingine Mpe uji uliochanganya na dagaaa.......
NB kufuga mbwa ni Sawa na kuongeza familia nyingine usichukulie simple simple..... Iki ndicho kipindi kizuri cha kununua mahindi walau gunia Mbili unaweka stoo unakuwa unachota kidogo unasaga, usimpikie mbwa Pumba... Kama kuna machalii wa bodaboda umezoeana nao ingia Nae mkataba awe anakufuatia nyama malapu malapu machinjon... Jirani zangu wanaibiwa flat screen , simu na vifaa vya magari japo kuna fence Ila mm ninao mbwa wananitosha hakuna kibaka anaedhubutu kiruka fance....
Tatizo dagaa imepanda bei Sana ukinunua kilo ndani siku saba imeisha labda uwafanyie mbwa diet YA msosi Ila kama unataka wale hadi wanye Kwenye banda siku Tano imeisha... Mimi kuna chalii ananiletea malapulapu ndoo ndogo pamoja na usafiri Nampa 12000..... Unagawa unaweka Kwenye fridge vimfuko vidogo maisha yanasongaTena malapulapu weekend tanaka mpaka J5, siku nyingine dagaa.
Nilimaanisha weekend ukimtuma kijana unabadilisha na dagaa litakaa sana. Kutumia mbwa ni gharama imaongelea kama 30,000 kwa mweziTatizo dagaa imepanda bei Sana ukinunua kilo ndani siku saba imeisha labda uwafanyie mbwa diet YA msosi Ila kama unataka wale hadi wanye Kwenye banda siku Tano imeisha... Mimi kuna chalii ananiletea malapulapu ndoo ndogo pamoja na usafiri Nampa 12000..... Unagawa unaweka Kwenye fridge vimfuko vidogo maisha yanasonga
Magego anayoChemsha uji mzito kidogo ukianza kuiva weka soup ya mifupa au soup ya dagaa. Kumbuka mbwa ana memo ya mbele tu hivyo hawezi kutafuna