Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu. NB: No place for racism
1 Reactions
18 Replies
739 Views
Habari yenu wanaJF, Kama kuna wanaJF waliosoma shule ya msingi Forodhani na kumaliza 1992 au 1993 tujulishane.Nakumbuka mwalimu alikuwa mwalimu Mbuya,kuna baadhi ya walimu kama mwalimu Julius...
4 Reactions
430 Replies
52K Views
Hapa toka saa 7 usiku niko macho nasubiri tu pakuche niwahi hospital kulitoa.
14 Reactions
46 Replies
1K Views
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO), Anslem Namala amesema meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho na kwamba hivi karibuni wanatarajiwa kutoa tamko...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms...
2 Reactions
10 Replies
530 Views
China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, na ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ikiifuata Marekani. Pamoja na maendeleo makubwa, China imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi...
2 Reactions
2 Replies
359 Views
Pesa, Ardhi na Mapenzi. Hivi ni vitu vilivyo mwaga damu sana, vilivyo karibisha ushetani, vilvyo vunja utu na vilivyo tengeneza uhasama mkubwa sana. Lakini bado ni vitu vyenye thamani kuliko...
62 Reactions
171 Replies
19K Views
Wachimbaji na Wafanyabiashara wa Madini wa Mkoa wa Geita wamempongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Hivi karibuni, rais wa Marekani Donald Trump alitangaza nyongeza ya ushuru kwa nchi kadhaa, zikiwemo nyingi kutoka bara la Afrika, na hivyo kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa. Wakati...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita, imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Imani Salehe (23) baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mtoto wake...
5 Reactions
15 Replies
902 Views
Timu ya 34 ya Madaktari wa China waliopo Zanzibar hivi karibuni imekamilisha upasuaji mitano ya midomo iliyopasuka juu na upasuaji 19 ya matatizo ya kaakaa kwa watoto ndani ya siku tano tu, huku...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi (TPS), SACP Ramadhani A. Mungi akizungumza alipokuwa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi (TPS) wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mwedani za Kivita kwa...
5 Reactions
4 Replies
557 Views
Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia...
1 Reactions
1 Replies
309 Views
Habari jamii Africa. Kwakweli kuna namna nawaza nashindwa kujua haswa kusudi letu wanadamu ni nini kuwepo hapa Duniani. Yaani kila siku ni hekaheka tu zisizoisha,hakuna siku utakuta watu...
5 Reactions
2 Replies
317 Views
Welwitschia ni mmea wa kipekee unaopatikana katika jangwa la Namib, kusini mwa Angola na Namibia. Ingawa ina majani mawili tu, huweza kuishi kwa zaidi ya miaka 1,000. Kwa mujibu wa Botanical...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David...
20 Reactions
170 Replies
8K Views
Wakati Marekani ikiendelea na mashambulizi dhidi ya biashara huria duniani, Afrika iko ni mmoja wa wahanga. Na sasa Rais Donald Trump wa Marekani amefungua medani ya kidiplomasia tena ambapo...
0 Reactions
1 Replies
285 Views
Wakuu. Leo ngoja nije niwape pole mama zetu, dada zetu na wadogo zetu wa kike wanaopitia changamoto za uzazi. Hauwezi amini ila amini amini nakuambieni maumivu ya mwanamke ya kuishi bila kua na...
2 Reactions
6 Replies
440 Views
Wakati dunia inaendelea kutafakari mantiki ya hatua zinazochukuliwa na serikali ya Marekani kuongeza ushuru wa bidhaa kutoka nje, kauli zinazotolewa na Rais Trump kuwa Marekani “imeibiwa, imeporwa...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom