Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

⚠️ Wanasayansi wametoa Utabiri juu ya Dunia itaweza kufikia mwisho wake kupitia Kompyuta yenye uwezo mkubwa supercomputer ambapo miaka bilioni moja kuanzia sasa Dunia itafikia kikomo Kutokana na...
6 Reactions
14 Replies
951 Views
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Wakuu natumia account ya Crdb bank, na hiyo account nilitumia kuomba mkopo kwaiyo Huwa wanakata moja kwa moja mara baada ya hela kuingia. Sasa Kuna mtu anataka kunitumia hela kwa account hiyo...
3 Reactions
18 Replies
943 Views
Habari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao...
3 Reactions
9 Replies
761 Views
Sayyidna Abu Dharr Al-Ghifari (RA) – Kukataa Uongozi Mtume Muhammad (SAW) alimkataa Abu Dharr alipoomba nafasi ya uongozi: "Ewe Abu Dharr! Hakika wewe ni dhaifu, na uongozi ni amanah (dhamana)...
6 Reactions
18 Replies
828 Views
Wakuu kama unataka kuwekeza biashara yoyote Tanzania ujiandae kukumbana na urasimu pro Max, inaumiza sana sana pale unapoona kuwa kitu unachotaka kufanya ni kizuri kwa Taifa na kwa taasisi husika...
16 Reactions
40 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa muda mrefu vijana wengi nchini Tanzania tumekuwa tukisubiri kwa matumaini: ahadi za ajira, mitaji ya biashara, misaada ya serikali au...
0 Reactions
4 Replies
263 Views
Tume imezunguuka nchi nzima, bunge likaundwa, watu wakala posho, wengine wakasumbua kichwa kuandika na kutoa maoni, amd them ni kama vile mchakato ushatupwa, WHYYYYY? Pesa za umma Hajaliwi...
0 Reactions
2 Replies
253 Views
Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito...
25 Reactions
103 Replies
3K Views
Kama ni memory, watanzania wana operate on CPU register. Wanashupalia jambo, kisha baada ya muda washasahau, wansubiri jengine. Tangu enzi za kuuwawa kwa Daudi mwagosi hadi kupotea kwa mdude, in...
1 Reactions
1 Replies
205 Views
Wachimbaji na Wafanyabiashara wa Madini wa Mkoa wa Geita wamempongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya...
1 Reactions
3 Replies
391 Views
Unakuta mtu ndio umekuta nae kwa mara ya kwanza na njia ambayo ya kuweza kumfikia ni mawasiliano sasa unakuta anakutajia namba ikishafika kwenye sita na 9, huwa tunachanganya sana, tunaweka vice...
3 Reactions
3 Replies
352 Views
Jamani kama hapo juu panavojieleza nahitaji kwenda kutafta maisha Australia sasa nataka mtu mwenye experience na mazingira hayo aweze kunisaidia kuwa mwenyeji wangu, kunijulisha gharama za kutoka...
4 Reactions
44 Replies
10K Views
SERIKALI KUIBADILI NEMC KUWA NEMA (MAMLAKA YA USIMAMIZI MAZINGIRA) Ofisi ya Makamu wa Rais imesema mchakato wa kulipa mamlaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) upo...
2 Reactions
2 Replies
491 Views
Prof. Muhongo LEO BUNGENI DODOMA - Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mchango wake yakiwemo yafuatayo: (i) Shukrani kwa...
2 Reactions
8 Replies
909 Views
Urithi wa ghafla unaweza kurithishwa mamilioni ya pesa na mengine lakini usione athari yoyote sababu ujasumbuka navyo. Ila urithi wa ghafla kuna mda unawatoa watu mchezoni na kujikuta wamebaki...
4 Reactions
7 Replies
327 Views
Je kwa zile namba ambazo Bashungwa amezizuia kutokana na kutochukua vitambulisho ni Nini Cha kufanya ili ziwe active tena.
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Tulitangaziwa na kuaminishwa na CRDB juu ya Mama Samia Bond kuwa ni uwekezaji mzuri unaotoa faida 13% baada ya miezi mitatu. Mimi niliona ni fursa na nikaweka fedha zangu mwanzoni mwa Januari...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Tanesco wanaproject nyingi kama za kununua umeme ethiopia na mengine. Kuna project ilitokaga na waziri fulani sikumbuki alikazia kuwa dar umeme usambazwe chini ya ardhi. Sasa ni kawa na waza...
4 Reactions
3 Replies
292 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kiswahili: Mwanga. Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) inatarajia kufanya mkutano mkuu maalumu wa...
1 Reactions
3 Replies
516 Views
Back
Top Bottom