Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wacha nikwambie kitu moja straight up bila kuzungusha — hii AI ni kama dope mpya ya kizazi cha dot com. Inakufanya ujione mwerevu, lakini deep down ina-slow kill akili zako. You feel me? Yani mtu...
3 Reactions
2 Replies
333 Views
Hivi hichi kituo kina matatizo gani ya kifundi? Ni mara kwa mara hakipo hewani kweye FM 88.3. Mchana huu tunasubiria wajiunge na DW lakini haipo hewani. Ni mitambo yao imechakaa au ni nin?
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna vitu vingi vime conquer mind za wanaume miaka na miaka, moja wapo katika historia hio imekuwa issue ya makalio makubwa ya mwanamke. "THE BOOTY TAKE OVER"
1 Reactions
2 Replies
219 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amesema kupitia mradi wa kufundisha wanyama (APOPO) hususan Panyabuku wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo(SUA), panya 100 wamefundishwa na...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
. CHUMVI YA ULIMWENGU . NURU YA ULIMWENGU Vitu hivi ni muhimu sana kwa mustakabali wa Maisha ya Mwanadamu Mathayo 5:13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini...
19 Reactions
65 Replies
9K Views
Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya...
3 Reactions
99 Replies
5K Views
Jasusi hatari nyuma ya NGO nchini Burkina Faso. Jasusi Joe Bassey kutoka Perrot Island nchini Cana ameachia nyaraka za siri zinazofichua kwamba Bi Claire Dubois, mwanamke Mfaransa katika miaka 30...
11 Reactions
50 Replies
3K Views
Ukweli mchungu ni kuwa Mbowe hawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwaachanisha Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi...
5 Reactions
58 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amefika kuhani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, na ambaye pia aliwahi...
0 Reactions
6 Replies
522 Views
Habari wana Jf nisiwachoshe tuende moja kwa moja kwenye uzi. katika mitaa yetu tunayoishi kumekua na tetesi nyingi zinazosambaa zikihusisha na kuelezea maisha ya jeshini(JKT) na kuonekana ni...
9 Reactions
139 Replies
8K Views
Story ya Yesu Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema...
4 Reactions
85 Replies
9K Views
Dunia yetu inabadilika kwa kasi, na tunavyoendelea na maendeleo ya teknolojia, masuala ya sayansi, na ustaarabu, swali linajitokeza: Je, bado tunahitaji dini katika ulimwengu wa kisasa? Katika...
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Ilikuwa Machi 3, 2021 Siku ambayo aliyekuwa Waziri wa Nishati wakati huo Medard Kalemani alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha kupozea umeme (Sub Station) Mkoa wa Simiyu. Hafla ya kuweka...
0 Reactions
2 Replies
633 Views
Yote haya yanayoendelea sasa CHADEMA (hasa waliokuwa Viongozi Waandamizi na wale wa Kundi la G55) yana BARAKA zako kwa 100% na URATIBU wako kwa Kusaidiwa na Watu ambao WAMEKUTESA mno kwa Wao...
22 Reactions
54 Replies
2K Views
Wadau nimepata haya ndani ya Biblia nikasema kumbe kwenye Biblia kuna mambo ambayo hata Sayansi inakiri kuwa, ndivyo yalivyo. Nikasema tushirikishane. 1. JUA, MWEZI KUWA ANGANI. Biblia. Mwanzo...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema magari ya usafiri wa Umma yatakayokatisha au kubadili “ruti” kinyume na Leseni zao, yatachukuliwa hatua na kufungwa kwa kifaa cha VTS ambacho...
0 Reactions
9 Replies
889 Views
Miaka 64 ya Uhuru. Tanganyika tumeshindwa kutengeneza Cherehani?
1 Reactions
15 Replies
523 Views
Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa...
3 Reactions
4 Replies
509 Views
Mbingu ya saba” si tu mahali angani bali ni hali ya juu kabisa ya fahamu, uelewa, na muunganiko na Mungu/Nguvu ya Juu. Katika mafundisho ya dini na mila nyingi: Mbingu ya kwanza hadi ya sita ni...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom