UZI MAALUM
Ikiwa taifa lolote litaingia kwenye machafuko (vita au mapigano ya wenyewe kwa wenyewe) kwasababu ya siasa, dini, makabila, n.k - yafuatayo ni baadhi ya matokeo ambayo yanaliandama...
MADHARA YAKUTUMIA P2 mara kwa mara
Dr mwasola
✏️ P2. Emmergency Contraceptive Pills' ni vidonge maalum vinavyotengenezwa kwa lengo la kutumika kwa dharura kuzuwia mimba isiyotarajiwa
✍️P2 ni...
Wakuu natafuta sana takwimu za vitongoji visivyo na umeme mtwara na Lindi. Nahitaji sana hizi taarifa kwa ajili ya matumizi fulani ya kitaaluma.
Nilikuwa nahitaji walau majina au source nayoweza...
Mnisaidie kwa hili, sahivi nchi nyingi zina mafuta hata hawajui wayapeleke wapi
Na nchi nyingi wanazidi kugundua mafuta kila uchwao
Na nchi nyingi mafuta yameshuka bei sana
Hapa kwetu bei...
-Una Furaha,
-Huzuni
-Amani ya moyo
-Unafurahia maisha
-Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha
-Unateswa/ kufurahia mapenzi
-Madeni
-Magonjwa
-Migogoro nk
-Huna kazi
-Kipato kidogo nk...
Sasa kama mnajua Kuzungumza Kiingereza kwani huwa hamkizungumzi moja kwa moja badala yake mkikwama katika Mahojiano yenu huwa mnarejea katika kuzungumza Lugha ya Kiswahili ambayo naamini ndiyo...
Jeshi la polisi linapaswa kutambua na kuheshimu vyama vyote vya siasa nchini kama ni vyama vinavyounda sura ya uongozi wa nchi yetu bila upendeleo wala ubaguzi haijalishi chama flani kipo...
Kwanini Rais Mstaafu Kikwete na Mkewe Salma walipomaliza tu Kuaga Mwili Watoto wawili wa Kike wa Hayati Mzee Msuya waliangaliana na kama vile walikuwa na lao jambo au labda kuna ambalo linaendelea...
Habari Zenu wakuu.
Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja...
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni...
Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani.
Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki?
Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana...
Ukiziangalia Ulaya, Marekani, India, China, Korea, Vietnam, Uarabuni ni jamii ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa na tamaduni zao za dini kwa karne nyingi zimefanikiwa sana tofauti na wengine...
Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
Wakati familia mbalimbali za jamii flani zinapokuwa kwenye misururu ya foleni ya kwenda vijijini kwao unajua sikukuu za mwisho wa mwaka zimekaribia, watu hao hutoka kila kona ya dunia kusherehekea...
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sababu yenyewe ni kutokubali kukosolewa. kukosolewa ni kuoneshwa makosa unayoyafanya yaani kuoneshwa mapungufu yako.
Watu wengi hawapendi...
Ukiangalia kwa haraka unaweza kuchukulia poa how come pale juu hakuna taifa lolote la Waafrika weusi?
Kwa Nini chini mwa Sahara desert hakuna tena nchi ya kiaarabu?
Niamini Mimi Kuna namna watu...
Destination Ile Ile (3-4hours) ila tofauti ya nauli inazidi 200USD anyway kupanga ni kuchagua!!
Nionavyo ni kama tunamfanyia Promo Malawian airlines bila kujua
Hope ndege yetu inajaa!
Zipo Apps mitandaoni zinahamasisha ushoga ambapo zinaunganisha watu walio eneo moja mfano Sinza.
Ukiingia humo dakika 10 nyingi mtu anakuja na Bodaboda ulipo huku anahema juu juu na unapata wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.