Vijana wapatiwa mafunzo kupitia programu ya Learning for Life

Vijana wapatiwa mafunzo kupitia programu ya Learning for Life

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
723
Reaction score
439

Kupitia programu ya Learning for Life, vijana wanapata mafunzo ya kina yatakayowawezesha kufanya kazi kwenye sekta ya utalii kwa weledi. Mafunzo haya yanalenga kukuza huduma bora kwa mgeni, mahusiano ya wateja, na uelewa wa tamaduni mbalimbali – stadi ambazo ni msingi wa mafanikio kwenye sekta ya utalii. Hii ni hatua madhubuti ya kuinua utalii wa ndani kwa kutumia nguvu kazi ya vijana.​
 
Dah ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi katika sekta ya utalii Tanzania ,ni kwa sababu tu napenda utalii nipo tayari hata bila malipo yoyote.
 
Back
Top Bottom