Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi.
Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu...
Wanajamvi!
Muh! Tutalalaje hapajakucha?,Mambo ni vice-versa,Mjini bado ya vimbweka!
Ni bora niendelee b'se I'm a fighter,it's better, no retreat, no surrender!
Je wadau ni Lini sasa niijue wazi...
Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii...
Nimekuwa nikitafakari swali ambalo huenda wengi tunaliona la kawaida au la kisanii lakini lina uzito wa kisayansi na kijamii: nawezekana kweli virusi kufundishwa? Swali hili limenitokea baada ya...
Kwa baadhi ya ya tamaduni tai akitua juu ya paa lako...
Watu watakusanyika na kuanza kutoa maelezo mbalimbali
Wengine Watazomea na kupiga kelele, "Jamani eeh! Nuksi imetua!"😂
Wengine hata wataita...
Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au...
Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo...
💭 Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuweza kutia saini na shirika la anga za juu OTHE, kwa kujipanga kuweza kurusha satellite yake ya kwanza angani ili kusaidia katika mambo mbalimbali.
💭...
Katika pitapita zangu za kufuatilia vivutio vingi vya Tanzania, na huduma zake nimegundua mambo kadhaa ya kushangaza sana.
Kwanza kabisa , Watanzania wengi hawapendelei kutembelea vivutio vyao...
Ninajiuliza kila siku bila kupata jibu
Yuko wapi Mungu, wakati watoto wanalala njaa?
Yuko wapi Mungu, wakati watu wanapoteza wapendwa wao kwa magonjwa wasiyoweza kutibu?
Mbona dunia imejaa vilio...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu na njia za...
Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa...
Habari zenu wana JFA,
Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo...
Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika...
Niliwahi kusoma sehemu fulani na baadaye nikaambiwa kwa comment hili jambo.
Habari ya jumapili ndugu Mtanzani.
Hili jambo la wasiojulikana limezungumzwa sana kwenye majukwaa mbalimbali na hata...
FR Beda Pavel alizaliwa mjini Humberg ujerumani, alipadrishwa mwaka 1953 na kutumwa Tanganyika mwaka huohuo. Amewahi kufundisha Biology katika seminary kadhaa nchini, amehudumu parokia mbalimbali...
WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA
Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa...
Wakuu
Nimetoka kwetu simiyu ndani ndani huko kabisa nimeingia mjini leo na Lori lililobeba ng'ombe.
Nimekutana na hiki kinywaji hapa mjini,nikawa nakishangaa.nikataka kukifahamu ni kinywaji gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.