Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Meet the Marabou Stork, a formidable figure in the theater of the wild. This isn't a creature of delicate beauty, but one sculpted for a stark purpose: the meticulous cleanup of the earth. Imagine...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Hii pia iwe funzo kwa sisi sote tunaounua mali kutoka kwa watu binafsi kama Gari, Pikipiki, kiwanja, nyumba n.k. Serikali iingilie kati Mama huyu apate hali yake amesumbuka sana Alinunua gari...
3 Reactions
72 Replies
3K Views
habari za ujenzi wa taifa? Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama! Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Mheshimiwa Janabi akishindwa huko WHO aibu inarudi kwetu. Tafadhali apelekwe Mlingotini apikwe kijadi pia. Siku ya kupiga Kura hao wapigaji Kura waone jina lake tu.
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Kama kuna Mtu anahitaji Sehemu ya kufanyia biashara ya UWAKALA ana mtaji wa Kutosha ila tu Sehemu ya kufanyia Biashara hiyo hakua nayo, Basi Suluhisho lipo hapa. Mwanzo ni mgumu hasa kwa Mtu...
3 Reactions
2 Replies
598 Views
Natabiri haya MAENEO Kutakuwa na mikoa 48 Kutakuwa na majimbo 240 Kahama itakuwa na hadhi ya jiji AJIRA Kilio kikali sana cha ajira, Hiki tunachokiona sasa ni cha kawaida sana. AI itakuwa...
1 Reactions
7 Replies
442 Views
Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine. Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza...
8 Reactions
44 Replies
1K Views
Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni...
12 Reactions
66 Replies
4K Views
Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana...
3 Reactions
3 Replies
288 Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
36 Reactions
661 Replies
30K Views
Tatizo ni ngozi? Ubongo? Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi? Au hii sehemu Mungu aliiweka kama mashambani pa dunia watu watoke kwingineko waje wapige pesa na kuondoka. Maana Sasa hivi...
9 Reactions
147 Replies
4K Views
Naweza kukataa kuwa sisi tuliopo duniani ndio watu wenye uhai pekee. Kwa tafiti za wanasayansi wanavyo zidi kutambua sayari zenye mfano wa dunia kama kepler na nyingine zinaweza kuthibitisha kuwa...
2 Reactions
9 Replies
581 Views
Hii code nimepewa na watu wenye elimu za kujua ulimwengu. Ndio maana kwa waislamu unapotaka kuingia kuswali au kuzikwa inabidi kuwa msafi. Ukitaka kujua mapungufu ya akili angalia vyoo vilivyo...
6 Reactions
11 Replies
667 Views
Natoa pole kwa wote mliowahi kuumizwa wengine Hadi kuuwawa. Pole mliowahi kuumizwa na kujiumiza kwa kupigania MAIGIZO. Wengi mna vilema vya kudumu wengine hawajulikani walipo na wengine...
2 Reactions
4 Replies
290 Views
Wasabato kazi yao nikusubiri RC ieneze injili wao waje nyuma nyumba kuipondea RC ili wavune kwenye kapu la RC,wasabato ni wana ujinga na upumbafu mwingi sana,wao ukatoliki ndio adui yao kuliko...
2 Reactions
4 Replies
416 Views
Ninavyofahamu, Dubai ni jiji la "Kimataifa" lililopo katika nchi ya Kiislamu! Wakristo wanaoishi huko wanapataje huduma za kiroho? Kuna Makanisa? Kama yapo, ni ya madhehebu gani?
2 Reactions
25 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/live/jE6G8dBC6Hc?si=9somVYCO5gxYAzyS Waliopo:- Viongozi wa ngazi za juu wa Kanisa Katoliki: Makardinali, Maaskofu, na viongozi wengine wa kidini kutoka sehemu mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
My Take Uganda & Somalia ni Matajiri wa Afrika Mashariki Wajao.Pia.soma Kampuni ya Turkiye Yagundua Mafuta Mapipa Zaidi ya Bilioni 20 Nchini Somalia Tanzania tujikite kwenye Kilimo tuu ndiko tuna...
4 Reactions
15 Replies
824 Views
Wilaya ya Ludewa kwenye milima ya mchuchuma na liganga una madini ya chuma (Iron ore) ni vizuri ikatafuta waekezaji ili watengeneze smelter za kuchakata iron ore mpaka kuwa malighafi chuma ambayo...
1 Reactions
8 Replies
713 Views
Back
Top Bottom