Nimetuma pesa kwenye mtandao tofauti, pesa haijafika kwangu wamekata, na wananiambia masaa 72, wanasema tatizo lilitokea jana, chaajabu nimeangalia Instagram, nimeona malalamiko ni mengi sana, na...
Hizi fantasy, illusion au mauza uza za huyu dogo zinashangaza sana.
Ana mihemko na munkari za kisoro.
Ana Miaka 33 anataka kugombea urais. Je amesoma katiba ya jamhuri ya muungano Tanzania...
Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne ikiwemo kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii ambapo Serikali imeingiza Dola za Marekani...
Wizara ya Maliasili na Utalii imesema Idadi ya watalii wa kimataifa imeongezeka kwa asilimia 132.1 kutoka watalii 922,692 Mwaka 2021 hadi watalii 2,141,895 10 Mwaka 2024.
Hayo yameelezwa leo Mei...
Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja vipaumbele 10 itakavyovitekeleza katika bajeti ya 2025/2026 ikiwemo kuendelea kujitangaza kupitia ligi mbalimbali duniani zenye kuangaliwa na watu wengi...
Hali inaongezeka kila siku nchini za viongozi wa Tanzania kutaka kujitutumua na kujitofautisha na Watanzania wengine, wananchi wa kawaida. Ile roho chafu ya "unanijua mimi ni nani" inawapa kiburi...
Yani tangu Tigo iwe yasi kuna mambo mengi ya kukera lakini kubwa zaidi ni changamoto ya kutuma pesa kutoka Tigo kwenda mitandao mingine has ikifika usiku.
Imagine unatuma pesa, kisha wanakwambia...
Henoko hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa mtu wa Mungu, aliyenena na kuenenda kwa haki katika kizazi kilichozama kwenye giza la dhambi. Lakini kinachovutia zaidi si maisha yake duniani, bali safari...
Wakuu nimejaribu kuaccess website ya mahakama Kuu ya tanzania leo hii tarehe 19 may 2025 Saa 10:08 Asubuhi bila mafanikio Domain ya site hio ni www.judiciary.go.tz
Nimefanya Ivo ili nione kama...
Wakuu salam,
Bili za mwezi Februari zimetoka, jamani huku kwetu Mbezi Beach kila mtu anashangaa ubambikaji wa bili hizi. Yaani kwa kila mtu bili imeshoot kuliko kawaida wakati matumizi ni ya...
Sijali kama utamuita Mwana wa Mungu, Nabii au Mwalimu.
Ila katika maandishi ya vitabu na simulizi hatujaona mahara alisema mchukie wayahudi kwa kunikataa, muaue waroma kwa kunisurubu na...
Ku Klux Klan (au KKK) ni kikundi cha chuki kilichoanzishwa Marekani mwaka 1865 baada ya Vita vya Wenyewe kwa Wenyewe (Civil War). Klan iliundwa na watu wazungu wa Kusini mwa Marekani waliokuwa...
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo...
Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine...
JINSI YA KUEPUKA KUROGWA NA WACHAWI
1. hakikisha mwilini kwako haukai na vipokezi vya uchawi, hivi vipokezi ndio receiver ambazo yan mchawi akikutupia ulogwi wake uchawi unaingilia humo
VIPOKEZI...
Wanawake ni jeshi kubwa limeloshindwa kumlinda mwanaume. Limekuwa jeshi la kulialia na kulaumu. Wengi wao wamekuwa makatibu wenezi wa kueneza lawama za wanaume zao! "All men are dogs"
Yeremia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.