Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari. Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Pia soma News Alert: - Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO
3 Reactions
7 Replies
576 Views
Wachimbaji sita wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi ndani ya mgodi wa dhahabu uliopo katika Kijiji cha Mwakitolyo wilayani Shinyanga. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia Mei 17, 2025 wakati...
0 Reactions
5 Replies
736 Views
Tangu nikiwa mdogo mimi ni mtu naependa sana kujitoa kwenye shida za watu, ndoto yangu ilikuwa nikija kupata hela basi nitasaidia sana watu. My wish came true nikiwa kijana mdogo wakati bado hata...
20 Reactions
20 Replies
2K Views
Sanamu la mkewe Donald Trump latoweka Chanzo cha picha,Getty Images "Melania" alionekana katika ukingo wa mto Sava huko Slovenia mnamo Julai 202, miezi minne kabla ya Melania Trump kuondoka...
1 Reactions
11 Replies
589 Views
Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?! Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania? Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
3 Reactions
19 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/vVff21KwD50?si=4cn52B2JbabvDOdb The second special session of the WHO Regional Committee for Africa will be held in a virtual format on 18 May 2025 under Special...
3 Reactions
100 Replies
4K Views
Meet the Marabou Stork, a formidable figure in the theater of the wild. This isn't a creature of delicate beauty, but one sculpted for a stark purpose: the meticulous cleanup of the earth. Imagine...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Hii pia iwe funzo kwa sisi sote tunaounua mali kutoka kwa watu binafsi kama Gari, Pikipiki, kiwanja, nyumba n.k. Serikali iingilie kati Mama huyu apate hali yake amesumbuka sana Alinunua gari...
3 Reactions
72 Replies
3K Views
habari za ujenzi wa taifa? Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama! Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Mheshimiwa Janabi akishindwa huko WHO aibu inarudi kwetu. Tafadhali apelekwe Mlingotini apikwe kijadi pia. Siku ya kupiga Kura hao wapigaji Kura waone jina lake tu.
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Kama kuna Mtu anahitaji Sehemu ya kufanyia biashara ya UWAKALA ana mtaji wa Kutosha ila tu Sehemu ya kufanyia Biashara hiyo hakua nayo, Basi Suluhisho lipo hapa. Mwanzo ni mgumu hasa kwa Mtu...
3 Reactions
2 Replies
598 Views
Natabiri haya MAENEO Kutakuwa na mikoa 48 Kutakuwa na majimbo 240 Kahama itakuwa na hadhi ya jiji AJIRA Kilio kikali sana cha ajira, Hiki tunachokiona sasa ni cha kawaida sana. AI itakuwa...
1 Reactions
7 Replies
442 Views
Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine. Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza...
8 Reactions
44 Replies
1K Views
Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni...
12 Reactions
66 Replies
4K Views
Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana...
3 Reactions
3 Replies
288 Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
36 Reactions
661 Replies
30K Views
Tatizo ni ngozi? Ubongo? Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi? Au hii sehemu Mungu aliiweka kama mashambani pa dunia watu watoke kwingineko waje wapige pesa na kuondoka. Maana Sasa hivi...
9 Reactions
147 Replies
4K Views
Naweza kukataa kuwa sisi tuliopo duniani ndio watu wenye uhai pekee. Kwa tafiti za wanasayansi wanavyo zidi kutambua sayari zenye mfano wa dunia kama kepler na nyingine zinaweza kuthibitisha kuwa...
2 Reactions
9 Replies
581 Views
Back
Top Bottom