Habari wadau,
Naomba kuuliza kama ukimkata nyoka mkia ataendela kuishi.
Leo baada ya mihangaiko yangu nimerudi nyumbani mapema nikaona ni vyema nishughulikie bustani yangu ya matunda na mboga...
Jaman wapendwa wangu, naomba msaada wenu. Nimejaribu kuingia tweeter a.k.a X lakini nashindwa jamani. Nataka nifuatilie habari za nchi yetu na mambo mengine.
Kama kuchanganyikiwa kuwa viswaswadu vinaweka kimawazo simu za tochi zinaweza kuingia VPN zile simu za wakala vitochi.
Wamefunga mtandao X ila wao ndio wanatoa habari serikalini kuwa nchi mtandao...
Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Akaro akizungumza katika semina ya Waandishi wa habari iliyofanyika tarehe 20 Mei 2025 katika ofisi za Benki Kuu jijini Dar es...
Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.
Baada...
Leo ningependa kufungua mjadala kuhusu jambo ambalo nimelisoma kwenye vitabu na pengine kuna baadhi yenu mna uzoefu nalo. Uhusiano kati ya kukosekana haki katika jamii (injustice) na ukandamizaji...
Kila taifa lina tabia na tamaduni zake zinazostahili kuenziwa hata kwa mtutu wa bunduki.
Wakenya wanatabia na tamaduni za kianzisha fujo na chokochoko nchini kwao na wakaangaliwa tu na serikali...
Katika siku za Nyumba, nilikua na Rafiki yangu kipenzi sana, Ambae yeye Wala hakua na urafiki wa kweli kwangu.
Baada muda kupita alipata maradhi ambayo yalihitaji kufanyiwa upasuaji na malipo...
Wengi tumeshawahi kuona Teknolojia ya solar panel ( Nishati ya jua) inavyofanya kazi maeneo mbalimbali ambapo hutumika kuzalisha Umeme wa jua. Je zinaweza kufanya kazi mda wote hata kama Kuna...
Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi...
NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI
Anaandika, Robert Heriel
Loveboy
Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18!
Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa...
Hii si picha ngeni miongoni mwetu.. Tumeshaiona mara nyingi tuu.. Tukasikitika kidogo kisha maisha yakasonga
FIKIRIA HILI KWA TAFAKURI Simba hakumwona kamwe hakumuona mtoto…...
Wadau natumai mko vizuri.
Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote...
Wakati mwingine inawezekana umasikini wako ni matokeo ya Babu yako kula kona wakati wa zoezi la kukamata watumwa waende wakafanye kazi marekani
Babu yako alijificha porini milimani, inawezekana...
Huwa nikawasikia wanasiasa wakizungumza kwa ujasiri sana serikali inapambana "dhidi" ya maendeleo ya raia wake, wananchi wana imani "dhidi" ya vyombo vya dola, raia wana ushirikiano mzuri "dhidi"...
Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.
Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.
Hii nchi bwana
Mjadala unaweza...
Katika jitihada za bara la Afrika kuongeza upatikanaji wa intaneti kwa wote, kuondoa tofauti ya matumizi kati ya mijini na vijijini, pamoja na kuimarisha usalama wa mtandao wadau zaidi ya 1,200...
Mit 17:13 SUV
[13] Yeye arudishaye mabaya badala ya mema, Mabaya hayataondoka nyumbani mwake.
Siku za leo sio ajabu kumkuta mtu ambaye alitendewa mema mengi na mtu mwingine, mtu yuleyule...
ILIKUWEPO NCCR, IKAWEPO CUF, ILA CHADEMA NI TOFAUTI.
Sehemu ya 1
Mwaka 1995, sisi watoto wa enzi hizo tulikuwa na kawimbo flani hivi, tunaimba;
'Mkapaaa, Mkapa ana kikwapa'
'Mremaaaa, Mrema ana...