Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/
Hizo hela siyo ishu,
Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na...
Ukibisha sawa ukiafiki chukua hatua , ukivimba utavimbishwa na utapasuka Mungu hachezewi.
Kupanga ni kuchagua aidha mipasho, jeuri, kibri na dharau wajiandae kwa mashimo ya futiz za kutoshea...
Kwenye dunia ya sasa ambayo huwezi kumtenga mwanamke katika shughuli za uzalishaji na kisiasa, nchi ya Sweden imeendelea kufanya vizuri katika suala zima la kumpa mwanamke nafasi.
Kwa mujibu wa...
CHAKRA ZILIZO WAZI: DALILI ZAKE
1. Root Chakra (Muladhara)
Ikiwa unahisi kuwa:
Una maisha yenye msingi mzuri, salama na usalama wa kimwili na kifedha
Unahisi kuwa na uhusiano wa karibu na...
Kama watu hutekwa na wengine hujiteka kwa maslahi binafsi!
Naomba mtaalam anielimishe nini tofauti ya kudukuliwa na kujidukua kwa maslahi mapana? Hufanyika wakati gani?
Ili ukue kifikra na kimtazamo, hekima, utimamu na utulivu wa kweli, pamoja na kujitambua na kuendana na mazingira yanayokuzunguka inabidi kuzijua codes nyingi Ili uweze kuishinda na kuendana na...
Hawa vijana wanaokamata magari Dar kwa kisingizio cha wrong parking aliyewapa kazi anajua wanachofanya?
Hii ipo sana Dar.
Kuna vijana wanavaa uniform kama za mchongo hivi na wana vitambulisho...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kwenda jela miaka 20 Katibu wa Chama Cha Ushirika cha Msingi(Amcos)Kijiji cha Gula,Masanja Mboje(36)baada ya kukutwa na hatia ya makosa mawili...
Habari,
Nimekutana na hii video ya audio ya Mwalimu Batuli Hamadi Isaya wa Shule ya Msingi Unga Limited, Arusha. Yule alitekwa na kuachiwa kisa alipandishwa cheo na kushushwa bila maelezo..
Tangu utoto wetu, tumekuwa tukielezwa kuwa elimu ni njia ya mafanikio. Tumefundishwa kuheshimu walimu, kufuata ratiba, kuvaa sare, na kusoma ili tufanye mitihani na kufaulu. Lakini swali moja...
Kama utapata mda kuna kipindi kina channel yake kikiitwa radio47 kuna mkenya mmoja kaeleza kama kafunguka kwa hasira.
Anavyo dai tanpol kwenye account zake kwenye nywira (password) wametumia...
Juzi usiku tulimpeleka hospitali ya Nanguji mwanachuo mwenzetu ambae alizidiwa, wakamfanyia vipimo na kusema utumbo umejikunja hivyo anapaswa kufanyiwa upasuaji kwa haraka, kwa pale gharama...
Kumfunga mtu ni kitendo cha kumzuia mtu asifanye jambo fulani katika hali ya kawaida na alifanye kinyume na kawaida
asili ya mwafrica ipo kwajiri yakurudisha samani yamaisha yako unaweza kuja...
Huko wilayani Rombo katika tarafa za Tarakea, Useri pamoja na maeneo mengine ndani ya wilaya hiyo, Malori Kwa Malori ya mizigo yamekuwa yakivuka Boda na kuja Rombo kuvuna mahindi machanga, na...
Ukifikiria kwa kina utagundua kuwa unatumia muda na gharama kubwa kujiharibu mwenyewe
Likija suala la matibabu tunalalamika kuwa gharama ziko juu sana 😂
Ni kweli tunahitaji kula na kufurahia...
Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
Kuzilinda...
Halmashauri ya Nachingwea mkoa wa Lindi kuna kero ya kulazimishana michango ya mbio za mwenge kila mfanyakazi anatakiwa kuchangia Tsh 10,000/=
Hii ni lazima siyo hiari unaitoa wapi utajua...
Utangulizi wa kujitambua.
Kabla ya mtu kuanza safari ya kujitambua, ni muhimu kuelewa maana yake na kwa nini ni jambo la msingi katika maisha. Kujitambua (Self-Realization) ni mchakato wa kuelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.