Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni kwa nini tuliowaajiri kutuongoza wasifanye yafuatayo kuboresha barabara zetu? 1.(a)Kutumia wafungwa waliofungwa vifungo vya muda mfupi kutujengea barabara zetu korofi? (As cheap labour)...
0 Reactions
6 Replies
465 Views
Wakuu habari za siku mingi. Mercy yupo mzima, yupo dar kwasasa na kila siku ananisumbua niende dar au aje nilipo tuonane. Merry yupo tunasonga na maisha. Nimekuja leo naombani ushauri...
5 Reactions
82 Replies
3K Views
Tumeshuhudia matusi mazito na ya nguoni wanayopewa wale ambao kwa hiyari yao wenyewe wameamua kujitoa chadema kwa minajili ya kutoridhika na mifumo ya Chadema? *Ni roho zinawauma? *Au mazoea ya...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wawe makini na raia wa kigeni wanao ingia nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu, wengi wao ni Wakenya ambao ni wazoefu wa kuhamasisha vurugu wapo wengi sana. Na...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini...
2 Reactions
6 Replies
676 Views
Waafrika ni kama mtoto aliyezaliwa kiwete. Atategemea kubebwa na kulelewa kama mtoto maisha yake yote. Nimejaribu kujiuliza hivi nini kitatokea siku wazungu wakiamua kutuacha tutembee wenyewe...
0 Reactions
2 Replies
262 Views
Ili kuyabaini machapisho yanayotengenezwa na wapotoshaji Chunguza 1. Makosa ya kisarufi 2. Kama tarehe inarandana na Taarifa hiyo 3. Linganisha muundo wa chapisho na machapisho rasmi ya chanzo...
1 Reactions
0 Replies
363 Views
Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo. Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote...
1 Reactions
1 Replies
348 Views
UTANGULIZI: Tundu Antiphas Lissu anapitia njia ya haki ambayo leo wanaoitwa na Kanisa Katoliki Watakatifu/Wenye heri waliipita. Kuna kila ishara kwamba mtu wa Mungu huyu Lissu njia anayoiendea...
32 Reactions
114 Replies
13K Views
Kila siku nakuambia wewe una bahati na Mungu anakusudio kubwa sana na wewe.. Tatizo ni kwamba unajikatia Tamaa mapema, unasahau wewe ni miongoni mwa washindi, unaweza kufikia level ya mafanikio...
4 Reactions
8 Replies
429 Views
Kwa miongo mingi sana mwanamke kote duniani alionekana ni kiumbe dhaifu, dhalili, kisichojiweza wala kujielewa, ndio maana wakakinyima elimu, uhuru na hata utashi hii yote sio kama mwanamke alikua...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya maneno ya Yesu yaliyorekodiwa kwenye Biblia, yakisisitiza kuwa alitumwa na Mungu na hakuwa na mamlaka binafsi. Mafundisho yangu si yangu mwenyewe. Yanatoka kwa yule...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Hapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya. Kuna hawa wanawake walikuwa maraisi yani matendo yao ni kama binadamu mmoja. Waliua wanaharaksti,waliuza...
2 Reactions
12 Replies
623 Views
MKUU wa Wilaya ya Maswa, Dkt. Vicent Naano amewataka viongozi wa dini kutumia nafasi yao kuhakikisha amani na utulivu wa nchi unaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinapoelekea uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections) Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani)...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wizara ya Afya imeendelea kufanya ufuatiliaji wa karibu na kutoa taarifa za kila siku kuhusu magonjwa ya mlipuko pamoja na tetesi za uwepo wa magonjwa hayo nchini. Katika kipindi cha kuanzia mwezi...
1 Reactions
0 Replies
687 Views
Katika kitu kilichonishangaza Arusha ni kuhusu mabucha ya nyama. Arusha nyama kwenye mabucha ni bei moja, mabucha yote kutokana na kua na chama cha wenye mabucha ambacho hiko ndio kinaamua bei ya...
3 Reactions
12 Replies
818 Views
WATALII CHINA NA INDIA WAMEONGEZEKA Kupitia mikakati mahsusi ya kutangaza utalii kwa kushirikiana na balozi za China na India, Serikali imefanikiwa kuvutia masoko mapya ya utalii. Filamu ya...
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa. Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Kumbuka si kila Taarifa unayokutana nayo mtandaoni ni ya Kweli. Thibitisha kabla ya kuiamini na kuisambaza, kwani utaiweka jamii kuwa salama dhidi ya Taarifa Potofu. Unaweza kuwasilisha Taarifa...
4 Reactions
7 Replies
616 Views
Back
Top Bottom