Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kijana wangu wa boda boda kaangukia penzini na housegirl kwenye nyumba moja mtaa flani karibu na kwangu changamoto imekuja kujitokeza baada ya bodaboda huyu kuwa kimya muda kama wa siku nne hivi...
1 Reactions
8 Replies
762 Views
Wakenya wana uhuru wa kuhoji embu sikilizeni hii video mpaka mwisho.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Iwe kwenye MAHUSIANO Iwe kwenye Biashara Uwe kwenye elimu Iwe kwenye ajira KAZI nk. Maumivu yapo kukufanya ukomae, Usiogope kuumia unaandaliwa kiwa Bora kesho
9 Reactions
21 Replies
893 Views
Nimeburudika na mziki wangu muda mrefu ila sasa hivi inaleta shida coz nikiwasha inaakaa kidoo linakuja neno "PROTECT" nimefuatilia hii inaonyesha either kuna shoti zile spika zake au kwenye...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Ufalme wa Denmark ni miongoni mwa tawala za kifalme za zamani zaidi duniani. Hadi Januari 14, 2024, familia ya kifalme haikuwa na mamlaka ya kisiasa, lakini bado walionekana kwenye stempu na kadi...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Inawezekana hili jina ni geni miongoni mwa wengi, lakini naweza kumuita mkombozi wa mikoa iliyopo nyanda za juu kusini hasa wilaya za Namtumbo, Tunduru, Nanyumbu na Masasi.. amewahi kusoma na...
9 Reactions
32 Replies
8K Views
Hii picha ya sigil Tayari ina: Nguvu ya kinga (alama ya jicho na siraha za ulinzi). Mvuto wa pesa (mfuko wa pesa na alama za mafanikio). Vichocheo vya nishati (alama za sayari, nyota, na...
2 Reactions
5 Replies
862 Views
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na...
15 Reactions
62 Replies
2K Views
Nimekuwa nikimsoma Bill Lugano jamaa ana madini sana. Sijashangaa kuona mataifa mbalimbali yanamtumia kukuza uchumi wao. Za ndani ni kuwa ndiye mshauri mkuu wa Serikali ya China, Russia na...
0 Reactions
9 Replies
655 Views
Wazungu ni watu wa ajabu sana Yani wanaona Muislam kuoa wake wanne haijakaa vizuri kijamii na wanapinga ila wanatumia nguvu nyingi kulazimisha na kupromoti wanaume Kwa wanaume kuoana Yani Kuna...
1 Reactions
10 Replies
446 Views
Mtume pekee ambaye biblia inarekodi mauaji yake jinsi yalivyokuwa ni mtume Yakobo ndugu yake mtume Yohana. Huyu biblia inasema katika Matendo 12:1-2, kuwa Mfalme Herode alimuua kwa Upanga...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Niko mitaa ya machimbo Chunya hapa. Kuna dogo amekunywa dawa za kuchoma nyasi. Wamepambana haijawa bahati kabisa kafariki chanzo wanadai ndani ya siku tatu dogo alikua na tofauti na mke wake...
13 Reactions
166 Replies
6K Views
Wakuu habari za leo? Wakuu leo nilikuwa nafatilia malimbikizo ya pesa zangu za PPF kwenye ofisini za PSSSF hapa mbeya. Nikaambiwa kwa kuwa mimi bado ni mfanyakazi mfuko wa PPF na mfuko wa NSSF...
1 Reactions
2 Replies
373 Views
Habari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana? Risk zake zipoje. Faida na hasara zake je, na kama kuna...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Tunapitia maisha magumu mpaka tunaamini waliokufa wamepumzika. Lau viongoz wetu wangejali watoto wa kimasikin leo ingekua tuna afadhal njaa, maradhi, nguo na viraka na kila aina ya taabu lakin nan...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Bandari chanzo kingine cha Biashara ya Kaboni, hayo yaamelezwa na Ingvar M. Mathisen, Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Oslo, Norway kwa ujumbe wa Tanzania uliotembelea bandari hiyo hivi karibuni...
0 Reactions
4 Replies
426 Views
Nikiwa kwenye basi katika harakati za kuitafuta shs, tumesimama kuchimba dawa eneo linaonekana kama kijiji baada ya makambako kuelekea mafinga, ni eneo flani inaonekana kuna vyoo vya mtu binafsi...
21 Reactions
196 Replies
39K Views
Ebwana eeh leo ndio nimeshituka kuona Kenya wana SGR kali kuliko Bongo. Katika pitapita zangu mjini Instagram nikakutana na post ya mdada mmoja mkenya anaelezea maisha ya utalii, gafla nikaona...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Heshima Mbele Kwa Wote.. Pamoja na Kua Nalipongeza Sana Jeshi Letu La Polisi Katika Nyanja Nzima Ya Ulinzi Wa Raia Na Mali Zao, Kwa Kuzingatia Kwamba Kipindi Hiki Hakuna Matukio Makubwa Ya...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Back
Top Bottom