Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps...
1. Luke 23:46 – "Jesus died on the cross"
Aya hii inasema Yesu alipaza sauti, akasema, "Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu." Baada ya kusema hayo, alikata roho. Hii inaonyesha kuwa alikufa...
Katika awamu hii, Wizara ya Miundombinu imechemka vibaya mno. Utekelezaji wa majukumu yao ni dhaifu, na hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Kinachoendelea sasa si tu kushangaza, bali ni fedheha...
Kuna vijana wanatembea huku nafsi zao zimejaa majeraha . Wanabeba matarajio ya familia, presha ya mitandao ya kijamii, changamoto za mahusiano, na khofu ya kesho.
Tunatakiwa tuwe "role model"...
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu hapa Dar es salaam na mnufaika wa mkopo wa HESLB.
Ilibidi nipate boom ndani ya siku 60 tangu chuo kifungue chuo kikuu ardhi leo ni siku ya 78 tangu tufungue...
Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5...
Wakenya ndio kitovu cha social media kupinga mtu mpaka ukajitoa.
Kama wanaweza kumsing Up raisi kwenye zoom.
Kwa haya mnayofanya wasanii wa Tanzania kuna siku Kenya mtaiona sio nchi kwenye kazi...
Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu.
Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye.
Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, ametoa muongozo akieleza kuridhishwa na majibu ya Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, kufuatia maswali ya nyongeza...
Serikali ilishachelewa muda mrefu sana kuwaadabisha hawa hadi katuni za kipanya zikawaaamsha usingini
Unaambiwa Kariakoo mchina alianza kupazoea vibaya akaanza kufanya kazi za wazawa
Anauza...
Naomba kujua haswa kisheria zaidi
Hipo hivi.. sisi tumezaliwa wa 5 kiujumla watatu wa baba na mama mmoja wawili tumeshare mama.. ambao ni wakubwa kwetu.. yaani mama aliolewa na mzee akiwa tayari...
Don’t you ever be attached to and pleased with earthly things. Have you ever wondered why the Bible reminds us that WE’RE ALL SOJOURNERS?
What if you are no more today?
Ikiwa bado uko hai...
Habari za wakati huu ndugu zangu wote wa humu jamiiforums.
Unawezaje kumwambia swahiba/rafiki yako ajirekebishe jambo fulani pasipo kuikwaza nafsi yake? Mfano kinywa chake hakipo katika hali...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kwamba akaunti mbalimbali za Serikali zilidukuliwa na waliofanya hivyo wamechapisha taarifa zenye lengo la kupotosha.
Ameongeza kuwa udukuzi huo...
Mimi siku zote nakuwa honestly, mkweli. Si mbinafsi, sifurahishwi na ubadhilifu na uzembe kazini.
Ingawa mazingira yanaweza kummeza mtu.
Naamini watumishi wa umma wengi tu ni watu wenye MIOYO...
. Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti.
. Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala...
Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha.
Huwa nawaza sana kwa nini...
Kupangiwa mada kama kuwa wapingia wengine ni pesa tu ilivyo nchi za wa kuungwa mkono.
Mbona mada kama hizi mfungi au kuna posho CCM.
Kuna redio Kenya kuhusu hata udukuzi kuwa nywira una majina ya...
I will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.